Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.

Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men

793D4729-F135-4882-9DA0-21BE8B8A0005.jpeg
 
King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. 🤣😂

Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki🤣😂
 
Chuki ikizidi mtu anashindwa hata kuona kama hiyo post ni tangazo la biashara. Kama ni vyakula vyenye madhara nadhani karibu vyote yakiwemo maji pia. Ukitaka uwe salama kabisa usikumbane na vyakula hatarishi inabidi uhamie futi sita chini ya ardhi kwenye makazi yako ya milele.
 
Chips hazina tatizo kabisa kama mafuta yanayotumika yanatumika mara chache na yanaisha.

Hatari ya chips inakuwepo kama mafuta yanayotumika hasa kwenye biashara hayaishi yanaongezewa kila siku.

Unakuta mafuta machafu yaliyotumika siku nyingi au wiki kadhaa yapo Kwenye karai yanaongezewa tu hayamwagwi.

Hoteli kubwa chips ni special order ukifika ukiagiza viazi ndio vinamenywa halafu vinakaangwa.
 
Back
Top Bottom