Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

Chips hazina tatizo kabisa kama mafuta yanayotumika yanatumika mara chache na yanaisha.

Hatari ya chips inakuwepo kama mafuta yanayotumika hasa kwenye biashara hayaishi yanaongezewa kila siku.

Unakuta mafuta machafu yaliyotumika siku nyingi au wiki kadhaa yapo Kwenye karai yanaongezewa tu hayamwagwi.

Hoteli kubwa chips ni special order ukifika ukiagiza viazi ndio vinamenywa halafu vinakaangwa.
we naww unakula chips
 
Back
Top Bottom