Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Halafu jamaa wa kawaida ila alijizolea wajinga wake 🤣🤣🤣King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. 🤣😂
Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki🤣😂
Tamaa zinawaponzaga sana wataka mafanikio kwa haraka