Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
kwaiyo ndo huyu alikua nguli wa forexImani yangu ni kwamba Sir Jeff almaarufu kama Ontario bado yuko JF na akiamua anajitafutia kiki kadri anavyopenda yeye anajipa kiki.
Hebu ona watu wanavyojimwaga hapa
Amepatwa na nn mbona kawa hivi