Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Mbona mnakula maugali ni nzuri kiafya?! Eti ndio wanaume wanataķiwa wale hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpiga punyeto fulani hiviKuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
View attachment 3063603
Kama msela wako anapenda chips,leave that fool lol...na usinitag tena kwenye post za kula kula,Mimi sio Mmelo mwenzio...
Yupo sahihi kwasababu ni mzee wa kudownloud pesa na pia kule trila na space triri za hadi members wapo 9.Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
View attachment 3063603
Says mmelo mwenzangu, na usinifokee!Kama msela wako anapenda chips,leave that fool lol...na usinitag tena kwenye post za kula kula,Mimi sio Mmelo mwenzio...
Huyo Ontario labda anatangaza biashara tu.Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
View attachment 3063603
Ni upinde?Sir jeff humjui??
Waulize watu wa forex humu wakupe file lake
Hata wewe sio great thinker, Joan alikuburuza sana 😄😄😄😄😄Kuna jamaa sijui yupo wapi simuoni Tena, nilikua napambana nae kila siku huku, ilikua ni vita mwanzo mwisho😂
Chanzo ni kuiponda hiyo idea ya Ontario ya forex
Mm huwa nakataa jf hakuna great thinkers aisee, kipindi kile cha Ontario ndio niligundua hili, watu walikua kama mazombi, sijui kutaka pesa za rahisi au ugumu wa life. Walimgeuza Ontario kama nabii
Walivyokuja kugundua wamepigwa bado wakawa hawaamini amini😂
Tamaa haijawahi kumuacha mjinga salama!Msingi wa utapeli ni tamaa, unajazwa unajazwa, kisha unazibuliwa uppercut, chembe, kidevu lazima maji uite mayii 😂
Kwanini?Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Lazima ukubali
kwamba huyu ndo anakafundisha kula chips yai
Wala, ni vile tu waligeuka kuwa mazombi hivyo wakiona mtu anakosoa wanajua anawaharibia kuwa mabilioneaUlikua na The List? 😂😂 Au ndo mwenyewe? Forex ipo nilikutana nayo kwenye International Finance miezi mi nne 😂 lakini nilikua naona mazingaombwe tu . Lakin Genious Onta alikua anapiga lecture wana JF wiki tu wanaenda front kupambana😂😂😂
Sio kuwa hakuna great thinkers,...hawa waliopo huku ndo great thinkers wa taifa,....sasa fikiria ambao hawapo huku🥱🥱🚮Kuna jamaa sijui yupo wapi simuoni Tena, nilikua napambana nae kila siku huku, ilikua ni vita mwanzo mwisho😂
Chanzo ni kuiponda hiyo idea ya Ontario ya forex
Mm huwa nakataa jf hakuna great thinkers aisee, kipindi kile cha Ontario ndio niligundua hili, watu walikua kama mazombi, sijui kutaka pesa za rahisi au ugumu wa life. Walimgeuza Ontario kama nabii
Walivyokuja kugundua wamepigwa bado wakawa hawaamini amini😂
hasira ni kaliSir Jeff AKA Ontario 😁
View attachment 3063680
kheeSio kuwa hakuna great thinkers,...hawa waliopo huku ndo great thinkers wa taifa,....sasa fikiria ambao hawapo huku🥱🥱🚮