Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Chuki ikizidi mtu anashindwa hata kuona kama hiyo post ni tangazo la biashara. Kama ni vyakula vyenye madhara nadhani karibu vyote yakiwemo maji pia. Ukitaka uwe salama kabisa usikumbane na vyakula hatarishi inabidi uhamie futi sita chini ya ardhi kwenye makazi yako ya milele.
 
Chips hazina tatizo kabisa kama mafuta yanayotumika yanatumika mara chache na yanaisha.

Hatari ya chips inakuwepo kama mafuta yanayotumika hasa kwenye biashara hayaishi yanaongezewa kila siku.

Unakuta mafuta machafu yaliyotumika siku nyingi au wiki kadhaa yapo Kwenye karai yanaongezewa tu hayamwagwi.

Hoteli kubwa chips ni special order ukifika ukiagiza viazi ndio vinamenywa halafu vinakaangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ