Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
-
- #21
kwaiyo ndo huyu alikua nguli wa forexImani yangu ni kwamba Sir Jeff almaarufu kama Ontario bado yuko JF na akiamua anajitafutia kiki kadri anavyopenda yeye anajipa kiki.
Hebu ona watu wanavyojimwaga hapa
NanAhh ontariooo alijua kuwaliza watu😂😂💔
mkuu mboja kama naww mla chips yaiChuki ikizidi mtu anashindwa hata kuona kama hiyo post ni tangazo la biashara. Kama ni vyakula vyenye madhara nadhani katibu vyote yakiwemo maji pia. Ukitaka uwe salama kabisa usikumbane na vyakula hatarishi inabidi uhamie futi sita chini ya ardhi kwenye makazi yako ya milele.
ONTARIO huyoKuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
View attachment 3063603
Kwaiyo unaungana na huyu mwanaume wa darChips hazina tatizo kabisa kama mafuta yanayotumika yanatumika mara chache na yanaisha.
Hatari ya chips inakuwepo kama mafuta yanayotumika hasa kwenye biashara hayaishi yanaongezewa kila siku.
Unakuta mafuta machafu yaliyotumika siku nyingi au wiki kadhaa yapo Kwenye karai yanaongezewa tu hayamwagwi.
Hoteli kubwa chips ni special order ukifika ukiagiza viazi ndio vinamenywa halafu vinakaangwa.
Kawa kama bwabwaSir Jeff AKA Ontario 😁
View attachment 3063680
Dar inaharibu watu
Saizi anawafundisha wanaume wa dar kula chipsSir Jeff hachelewi kulia ndani ya space, ila jamaa alijua kuwapiga wajinga wajinga vihela vyao 😹😹😹
Ila wanampiga spana huko, halafu hapendi challenge hachelewi kukupiga block 😹😹😹Saizi anawafundisha wanaume wa dar kula chips
Tulipiga kelele walituona tunawakosesha hela za ku download.King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. 🤣😂
Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki🤣😂
kumbe bado litoto darasa la nne mwaka 2018Wakati namaliza darasa la 4 mwaka 2018 nikajiunga Jeiefu nilizikuta stori zake zimepamba moto humu ndani kuwa alikua anaitwa Ontario na alikua ametoka kuwatapeli matajiri uchwara wa Jf siku siyo nyingi
Kuna jamaa sijui yupo wapi simuoni Tena, nilikua napambana nae kila siku huku, ilikua ni vita mwanzo mwisho😂Sir jeff again. 😂😂
Leo hujaenda kwa mwamposa kutapeliwa huku unasema ameen?kumbe bado litoto darasa la nne mwaka 2018
basi uwe unanisalimia na kobas zako sawa
Hana mafanikio huyo ni kelele tu na kujifanya ana akiliSir Jeff.
Yuko sahihi kwa sababu anazozitoa.
Tatizo sisi masikini wengi tuna chuki kwa watu ambao wametuzidi mafanikio.
Nilipata maadui wengi, na mm navyopenda kwere basi ilikua naona burudani tu kupambana nao😂Tulipiga kelele walituona tunawakosesha hela za ku download.
Kipindi kile ndio niliamini jf hakuna great thinkers😂😂King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. 🤣😂
Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki🤣😂