Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

King Ontario huyo, kiboko ya mabwege woote wa jamiiforum na tanzania yote kiujumla. 🤣😂

Alipiga wanasiasa, wasanii, na wengineoa maarufu, sema ndio kilio cha wengi na wengine wakalia kimya kimya, kilio cha samaki🤣😂
Halafu jamaa wa kawaida ila alijizolea wajinga wake 🤣🤣🤣
Tamaa zinawaponzaga sana wataka mafanikio kwa haraka
 
Nilipata maadui wengi, na mm navyopenda kwere basi ilikua naona burudani tu kupambana nao😂
Ilikua ni kosa kubwa sana kumsema Ontario, alikua ana jeshi kubwa sana humu
Tuliokua tunapinga tulikua hatuzidi 10 aisee ilikua ni balaa sana ukiamka na nyuzi zao zilipamba moto balaa nilikua kimya baadae nikaona wanatafuta picha za matapeli wa Durban na kuweka humu na magari yao ya kifahari basi wadogo wakiona X 6 wanajua nao wiki ijayo wata endesha mara tukaanza kusikia wanalipia darasa hapo posta bei kubwa masaa machache tu.
 
Wabongo wengi ni watu wasiofatilia wala kujua mambo mengi, ukitumia akili kidogo tu utawafanya utakavyo.
Na walikua huwaambii kitu na ole wako umkosoe Ontario, utatukanwa na kushambuliwa hadi basi
 
Kula chakula kutokana na mahitaji ya mwili wako..... unacheza na laptop siku nzima, dona ya nini 🤣 🤣 🤣
 

Ulikua na The List? 😂😂 Au ndo mwenyewe? Forex ipo nilikutana nayo kwenye International Finance miezi mi nne 😂 lakini nilikua naona mazingaombwe tu . Lakin Genious Onta alikua anapiga lecture wana JF wiki tu wanaenda front kupambana😂😂😂
 
Mwanaume hawezi kula vyakula vyenu. Mwanaume anatakiwa kula mihogo na mahindi na magimbi vya kuchoma basi
 
Kipindi kile ndio niliamini jf hakuna great thinkers😂😂
Jamaa alisepa na Kijiji chote, Kuna yule alikua anaandikaga story za ujasusi, nae akaungana na Ontario akawa anaweka post za kusifia na kusupport idea
Watu wakala za uso, kifo cha mende chalii, jamaa akasepa na mikwanja yake.

Walitahadharishwa humu ujeuri ukawajaa.
 
Tulipiga kelele walituona tunawakosesha hela za ku download.
Nakumbuka mzee, mlijitahidi saana kuwaelekeza watu, ila sikio la kufa tena, wakakaza shingo na chawa wake wakawa wanatetea kinoma.. Viscreenshot vya uomgo na akaumt za demo zikawaponza watu..
Mwisho wa siku ikawa kama dent aliyetiwa mimba kisa chipsi yai, majuto ni mjukuu, wachache wakalia hadharani, wengine kilio cha samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…