Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

ndege hana hata upaja! Ni mifupa mitupu ulikula nini hapo mkuu
images.jpeg-201.jpg
msela alifumwa huko Kenya anataka akamfanye mboga.............we unakula chips kuku kumbe umekaangiwa huyo jamaa
 
Mleta Mada hakumaanisha Ndege kama mnavyojadili, bali ametumia Lugha ya Picha kumsema Kiongozi wa Awamu ya 5 ambaye jina lake linafanana na la huyo Ndege. Na kwamba usije ukathubutu kumsema Vibaya Kiongozi huyo ukiwa Mwanza, Aliyoyafanya kwa Watanzania wao huko Mwanza wanayaona Lulu na hivyo jihadhari kufifisha au kuponda Kiongozi huyo.
Lkn siyo kweli kwamba hilo dege Mfuko linalindwa au kuogopwa, linauliwa kila muda na kila mahala ni kama ilivyo Kunguru wa Zanzibar huko Dsm na hakuna atakayejali au kukuuliza kuuliwa kwake.
Over
 
Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.

serikali inamlinda sana.

Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
Huyu ni ndege wa kawaida kwa jina la kiingereza anaitwa marabou Stoke, au bwana afya kama watu wa Kanda ya ziwa wanavopenda kumwita, sidhani kama tayari amejumuishwa kwenye species zilizoko mbioni kutoweka. Ni ndege ambaye hana madhara ni nadra sana mtu kufikiria kumdhuru
 
Hawa ndege ndio huvamia ndege za abiria zikiwa angani ni hatari sana wakivamia maana wanaweza sababisha injini kuwaka moto
 
Back
Top Bottom