[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Siku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
hapa tengeneza vizur chaiKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Zamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
160 basi inafika mkuu, kuna kitu inaitwa kukopaSure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
tawaqal ,kiswele ingini nyumaZamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996
StrungiChai tena ya tangawizi
Zamani gari DSM.to.mbeya zilikua zinaingia mbeya kuanzia saa tisa. JioniPractically impossible. Period
Scania ni noma Michina haina kitu, ikikimbia sana inapasua injiniView attachment 2061851View attachment 2061854
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini.
Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
Mkuu umenikumbusha Mbali sana. Enzi hizo Stand ya Mabasi ya Mbeya ipo pale Mnazi Mmoja. Nakumbuka 1997 nilitoka Mbeya Asubuhi saa 12, Saa 10 jioni nshafika Home Dar na mshua katoka Job kanikutaa🤣🤣🤣View attachment 2061851View attachment 2061854
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini.
Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
Una uhakika na unachokiongea? Ulishawahi kuona msafara wa viongozi V8 zimeachiana nafasi zinavyopita kama upepo? Ile mara nyingi sana huwa ni 150. Imagine.160 basi inafika mkuu, kuna kitu inaitwa kukopa
Pia nampongeza sana kwa kujitunza hadi leo hii.. maana Madereva wengi wa enzi zile wameondoka na Ngwengwe.View attachment 2061851View attachment 2061854
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini.
Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
Hakuna anaesifia ujinga, wakongwe wanakumbishana mambo ya zamani. Au we enzi hizo ulikuwa "Naliendele" unamsaidia Bibi kuchimba Mihogo🤣🤣🤣🤣Acheni kusifia ujinga,
Magari ya zamani yalikuwa ni malori modified. Lory la kubeba tani 30 libebe abiria 65, giant box high na low, diff imechezewa, bodi limebalance. Utaipenda ScaniaUna uhakika na unachokiongea? Ulishawahi kuona msafara wa viongozi V8 zimeachiana nafasi zinavyopita kama upepo? Ile mara nyingi sana huwa ni 150. Imagine.
Hivi basi inaweza kukimbia zaidi ya magari ya msafara?, ulishawahi kupanda basi safari ndefu? Ikifikaga 120 tu, abiria wanazikimbia siti za nyuma! Basi la abiria likifika 140, abiria wote ndani wanakuwa majeruhi, maana mtagonga sana vichwa hadi mtaumia.
Naliendele kwenye mashamba ya ming'okoHakuna anaesifia ujinga, wakongwe wanakumbishana mambo ya zamani. Au we enzi hizo ulikuwa "Naliendele" unamsaidia Bibi kuchimba Mihogo🤣🤣🤣🤣
Ba! Ati nini Bwanu Wewe? 🤣🤣🤣Naliendele kwenye mashamba ya ming'oko
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze