Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Siku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
Zamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996
 
Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
160 basi inafika mkuu, kuna kitu inaitwa kukopa
 
160 basi inafika mkuu, kuna kitu inaitwa kukopa
Una uhakika na unachokiongea? Ulishawahi kuona msafara wa viongozi V8 zimeachiana nafasi zinavyopita kama upepo? Ile mara nyingi sana huwa ni 150. Imagine.

Hivi basi inaweza kukimbia zaidi ya magari ya msafara?, ulishawahi kupanda basi safari ndefu? Ikifikaga 120 tu, abiria wanazikimbia siti za nyuma! Basi la abiria likifika 140, abiria wote ndani wanakuwa majeruhi, maana mtagonga sana vichwa hadi mtaumia.
 
Magari ya zamani yalikuwa ni malori modified. Lory la kubeba tani 30 libebe abiria 65, giant box high na low, diff imechezewa, bodi limebalance. Utaipenda Scania
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze

Hii sasa chumvi.
Mwz-Shinyanga-Nzega-Igunga-Singida,Manyoni- Dom - Moro kwa masaa 4!! Unafanya mchezo.
 
Mkuu kuna watu hawafuatilii haya mambo ya mabasi lkn ni wabishi hatari kwa akili zao wanavyoona yutong zinaingia uyole saa 12 jioni ni ngumu kukuamini unachoongea lakini sie tuliopanda na kuona haitupi shida kuhusu huu ukweli.
 
Back
Top Bottom