Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa sikubaliani na njia hii ila Niliwahi kuandika humu,uminyaji wa haki utalipeleka taifa pabaya.Tuimarishe mifumo ya kutoa haki na taasisi za kidemokrasia
Ufashisti wa watawala na jeshi la polisi hauna tija
Kwako Gaidi kwa upande wao wanajiona wapigania haki na uhuru
Hata bokoharam na Alshabaab walianza hivyo hivyo na sasa wamekomaa!
Viongozi wamelala kila mmoja anawaza uraisi na kufisadi nchi huku vyombo vya ulinzi vikifanya siasa na kudhibiti vyama vya upinzani!
Huyu jamaa kama anafanya utani...basi analo maana utani wake umepitiliza. Lakini kama anasema na anafanya kweli...eeh Mungu tuepushe na hili balaa!
Mimi nashangaa sana jeshi la polisi taarifa kama hizi wanaweza kuzipuuzia lakini ingekuwa wamepewa taarifa za maandamano CHADEMA au CUF wangezifanyia kazi haraka sana hizo habari.
Ben usilete siasa, hawa watu wanataka kuunda dola ya kiislam, angalia impact yake sio ushabiki tusikubali kugawanywa ki imani.
Naomba mfano wa nchi moja tu iliyo/iliyowahi kuwa na vita vya kidini ambayo baadae ikawa stable...ikawa na haki na usawa.
Watazifanyiaje kazi taarifa za uongo
Kama u na mshikaji anapenda kwenda kwenye nyumba za ibada za katikati ya mji muagizie atakuletea zipo tele wanagaiana. Au muagizie Mohamed Said lazima atakuwa nao.
Loading
Wapi intelijensia ya kova!!! Au hii haina maslahi kwa mabwana zake wa kisiasa?mambo ya msingi kama haya munayafanya kisiasa,mambo ya kisiasa munayageuza ya kiusalama,mambo ya kiusalama munayapeleka kiimani Bullshit on the pit.