Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu jamaa kama anafanya utani...basi analo maana utani wake umepitiliza. Lakini kama anasema na anafanya kweli...eeh Mungu tuepushe na hili balaa!
 
Ingawa sikubaliani na njia hii ila Niliwahi kuandika humu,uminyaji wa haki utalipeleka taifa pabaya.Tuimarishe mifumo ya kutoa haki na taasisi za kidemokrasia

Ufashisti wa watawala na jeshi la polisi hauna tija

Kwako Gaidi kwa upande wao wanajiona wapigania haki na uhuru

Ben usilete siasa, hawa watu wanataka kuunda dola ya kiislam, angalia impact yake sio ushabiki tusikubali kugawanywa ki imani.
 
Mimi nashangaa sana jeshi la polisi taarifa kama hizi wanaweza kuzipuuzia lakini ingekuwa wamepewa taarifa za maandamano CHADEMA au CUF wangezifanyia kazi sana hizo habari.
 
Hata bokoharam na Alshabaab walianza hivyo hivyo na sasa wamekomaa!
Viongozi wamelala kila mmoja anawaza uraisi na kufisadi nchi huku vyombo vya ulinzi vikifanya siasa na kudhibiti vyama vya upinzani!

Ongea ndugu yangu maybe utaeleweka, vyombo vya ulinzi na serikali wamefumba macho na nakuziba masikio kama hawaoni hatari iliyo mbele yetu kama taifa.
 
Huyu jamaa kama anafanya utani...basi analo maana utani wake umepitiliza. Lakini kama anasema na anafanya kweli...eeh Mungu tuepushe na hili balaa!

Mimi mjukuu wa isaka ila naona hawa jamaaa watasaidia kutuondolea uoga maana tumezidi mno kuwa waoga...! Ajira, maji, matibabu, elimu duni, umaskini uliopindukia, dhuruma, injustice, ubabe, ulinzi zero, uonevu, ubaguzi, indemocracy(no),

hivi kweli hatuoni eti sababu tu waofa acha watusaidie kutufungua..! Baada ya vita ya udini watakao baki wataungana kupigania HAKI NA USAWA.
 
Kama vile ni polisi wenyewe wanauchafua uongozi wao hawaupendi maana mtu hawezi kutaka kufanya jambo la hatari akajisema, hatua zichukuliwe kuwajua.
 
KATASAN'KAZA

Naomba mfano wa nchi moja tu iliyo/iliyowahi kuwa na vita vya kidini ambayo baadae ikawa stable...ikawa na haki na usawa.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashangaa sana jeshi la polisi taarifa kama hizi wanaweza kuzipuuzia lakini ingekuwa wamepewa taarifa za maandamano CHADEMA au CUF wangezifanyia kazi haraka sana hizo habari.

Watazifanyiaje kazi taarifa za uongo
 
Ben usilete siasa, hawa watu wanataka kuunda dola ya kiislam, angalia impact yake sio ushabiki tusikubali kugawanywa ki imani.

Kwani munawaogopa waislam? Nyinyi si mpo wengi nchi hii kweli mnatishika kwa bunduki tano hizi habari zenu zinakuaga mzaa ila mwisho wake ni mbaya sana.
 
Naomba mfano wa nchi moja tu iliyo/iliyowahi kuwa na vita vya kidini ambayo baadae ikawa stable...ikawa na haki na usawa.

Ata tusipokuwa na vita ya kidini ustable utatoka wapi? Gesi inaondoka, dhahabu nusu yake tayari imekwenda, wanyama pori wanasombwa, almasi zinabebwa, tanzanite usiseme, mistu inafyekwa, taasisi za fedha(mabenki) yamekaliwa, mawasiliano(mitandao ya simu) ya kwao...." Shame on me kwa kuzaliwa Tanzania.
 
Wapi intelijensia ya kova!!! Au hii haina maslahi kwa mabwana zake wa kisiasa?mambo ya msingi kama haya munayafanya kisiasa,mambo ya kisiasa munayageuza ya kiusalama,mambo ya kiusalama munayapeleka kiimani Bullshit on the pit.
 
Watazifanyiaje kazi taarifa za uongo

Ndo tatizo lenu liko hapo taarifa za ukweli mnazipuuzia lakini za uzushi zinazifanyia kazi hizo dharau zitawagharimu sana jeshi la polisi
 
Kama u na mshikaji anapenda kwenda kwenye nyumba za ibada za katikati ya mji muagizie atakuletea zipo tele wanagaiana. Au muagizie Mohamed Said lazima atakuwa nao.

Wewe bichwa kubwa akili huna.

Pole shule za kata jenga hoja mkuu usilete chuki.

Wewe huwezi kujielewa acha viroba mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kaisi Bin Abdullah akiwa amejiziba sura.[/FONT][/COLOR]

Stori:Waandishi wetu/Ijumaa

HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!

Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini huku akisema: Una maneno ya hatari sana, naogopa kujianika, nitauawa.
 
Nina wasiwasi tunskoelekea sipo. Nilikuwa najiuliza lengo lililokuwa nyuma ya kuvamia vituo vya polisi. Sasa nimejua, ni mkakati, ni mpango kabambe. Hawa jamaa wakiisha anza, basi tena. Kwa heri amani Tanzania.

Tiba
 
Wapi intelijensia ya kova!!! Au hii haina maslahi kwa mabwana zake wa kisiasa?mambo ya msingi kama haya munayafanya kisiasa,mambo ya kisiasa munayageuza ya kiusalama,mambo ya kiusalama munayapeleka kiimani Bullshit on the pit.

Mkuu kwani nchi ya Kova?

Polisi hawawezi kufanya kazi kwa hearsay.

Mambo ya siasa Muachie Mbowe

Wewe sio great thinkers!!!
 
Back
Top Bottom