Alafu angalia mbinu zao za kujikweza au social security, yaani ni zile zile za freemason unaumiza, kuua huku unasaidia.... Watu wa zanzibar Wana madili ya hatar wanapiga pesa ila hata kujionyesha ni ngumu sana ...wengi ni dili haramu kama kawaida wanauza mpaka unga ila ngumu sana kuwajua kama wana pesa.
Kwenye Banking System kuna Day end na Year End Activities! Jamaa wamemwamishia mzigo wa Year End - kabla ya 23:59 31 December 2022😁apambane nalo tu, huenda watamwelewa.Ila yupo katika wakati mgumu maana at this time mpaka FBI wapo katika cycleYeye atapaswa aonyeshe hizo Cash USD Million 18 alizipataje? Alikaa nazo kwa muda gani kuzitunza katika hali ipi na usalama upi.
Angeweka kidogo kidogo kwa kufodge documents, asingeshtukiwa. Ila kuweka yote at per ndiyo ameharibu.
Ni hela ipi haramu kachukuaKuchukua pesa iliyopatikana kwa njia haramu na kuiingiza kwenye mzunguko halali.
Una akili ndogo Sana wewe bank teller kwani hawezi kuwa na akaunti kwenye benk zaidi ya mojaKuandika rahisi sana....biashara unazijua au unaziskia? Eti crown,canter,LX [emoji2]
Nilishafanya kazi bank na tulikua na mteja anamalori kama elfu 2 account yake kubwa ilikua bank kwetu alikua anagonga 20m USD balance na hapo anatenda kubeba tumbaku zote Tanzania. Halafu mtu wa showroom mbili za magari awe na ukwasi huo. Unajua faida kwenye kila gari huwa ni sh ngapi?
Hayati marehemu?Bashite alimpora hayati Masogange b12? Walikua wanaigombea iyo pesa au ilikuaje?
Jinga huyoUna akili ndogo Sana wewe bank teller kwani hawezi kuwa na akaunti kwenye benk zaidi ya moja
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo nyoso .Mkuu kwa niaba ya wezangu, naomba utueleweshe Kuna hasara gani katika kuweka mpunga mrefu bank,
Au hayo masharti yaliyopo nyuma ya form 🙏🙏
Halafu ukute wewe mwenyewe huna hiyo quality ni Screpa tu.OQP ( ONLY QUALITY PEOPLE)
Wewe nitazungushia ukuni wangu dola 100 Mia Kisha nikuchomeke zitakazobaki humo ndo zakoHana hata mia uyo ni kujitapa tu
Ongeza tusi jingine upandwishe cheo kazini.Halafu ukute wewe mwenyewe huna hiyo quality ni Screpa tu.
Uwezo wako wa kufikiri unatafakarishaUngekuwa nayo ungemheshimu jamaa.
Huna hata 100M
Ndo maana siweki hela zangu Tz
Kilichopo tra linatakiwa liwe reflected na utajiri wako. Yaani ukiwa na let say 1000M Basi tra angalau uwe umelipa si chini 200M. Kuna Ile vat ama mapato. Kila buku uipatayo ya serikali Ni 180 wanakula Bata . Huku wao utajiri ama wizi wao hawalipi Kodi hata salalry zao zipo tax freeMkuu kwa niaba ya wezangu, naomba utueleweshe Kuna hasara gani katika kuweka mpunga mrefu bank,
Au hayo masharti yaliyopo nyuma ya form 🙏🙏
Ila Mimi kuwa na 847m hamuaminiKuna mteja Kipindi cha Magufuli baada ya kuona jamaa anafuatilia sana akaenda bank ya Access akachomoa Billion zake tatu akaenda nazo nyumbani.
Flow ya bank iliyumba.
We utakua wa kijijini sana,bank unaona ni sehem ya ajabu kufanya kazi? Wakati wenzio ilikua sehem ya kupita tu? Nazidi kuamini unaupeo mdogo sanaWewe bank labda uwe mlinzi
Kwa akili hizi, zitakazoteseka ni sehemu zako za siri.Ongeza tusi jingine upandwishe cheo kazini.
Nb. Ni ushauri tu waambie dada zako waende na formula ya OQP na uwaambie mwanamke mwenye ka pesa kake mfukoni hasumbuliwi na utitili.
Dogo acha makasiriko, ondoka kwa shemeji yako tafta hela.