Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Hapa wacha niKasome mbinu ya ukwepaji wa Kodi aliyoitumia d.trump inahusisha yale ma corporate sijui!!
Hela zako nunua hisa pia gawio endelea kununua hisa pia salary yako ulipwe kihisa hapo utakwepa Mana hisa umewekeza mtaji . Hiyo naijua moja zingine ziko mbali kwenye ubongo mfu mkuu
 
Wewe mpumbavu endelea kukariri vitini vya nyambari nyangwine shwain wewe.

Kuna watu pale maduka ya kisutu wanalala na Bilion hata 10. Wewe endelea kupokea mishahara ya kudownload

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
$25 Millioni ni hela nyingi sana dunia nzima.

Usijaribu kudanganya watu.
 
Nasikia Wema ananyota,ukifanikiwa kumlaa basi na mambo yako lazima yanyooke,eti ni kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hela zako nunua hisa pia gawio endelea kununua hisa pia salary yako ulipwe kihisa hapo utakwepa Mana hisa umewekeza mtaji . Hiyo naijua moja zingine ziko mbali kwenye ubongo mfu mkuu
Kwny hisa utapigwa Kodi sehemu mbili,Ya kwanza ukipata gawio(dividend) serikali itakula Kodi yake hapo Kama kawaida.

Ya pili,usipouza hisa zako ukawa unaziacha zikawa zinapanda thamani siku ukisema unaziuza ukapata capital gain nayo itakatwa Kodi Kama kawa.
 
Kina diamond hao
 
Nilisikiaga ni tapeli, wanawauziaga wazungu dhahabu feki huko south Africa, nilisikiaga tu.
Ila tuheshimu hustles za watu... kusema mtu ni tapeli ni rahisi sana... mi nadhani mtu mpaka amiliki bilioni 50 benki atakuwa na kitu cha ziada... Huwezi ukasema kwamba utajiri wote huo ni utapeli.. watu wanatumia akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…