Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Naijua Ila sio kuikuza ivyo mkuu. Hapo najua dola milioni moja Nina apartment pale newyork Manhattan kabisa ya three bedrooms naishi bila ya presha ama naipangisha napatab$8k kwa mwezi baada ya 13yrs zangu zimesharudiSuala sio top ngapi.
Hiyo ni hela nyingi mno.
Ukiwa na dollar 500,000 tu USA unapewa Investor Visa$25 Millioni ni hela nyingi sana dunia nzima.
Usijaribu kudanganya watu.
Ni kweli na asiweke benki moja pesa zoteMtu mwenye hela kama hiyo alitakiwa aweke kwenye zile big 5 banks.
Ila hizi nyingine ni roho mkononi.
StandardMtu mwenye hela kama hiyo alitakiwa aweke kwenye zile big 5 banks.
Ila hizi nyingine ni roho mkononi.
Ila wanawake wadangaji sikuzote hawanaga akili.. exposure yote ya mabilioni halafu ukimuangalia mwanamke unakuta hana cha maana... si bora wangekuwa wanatoa tu huo uke bureHuyu si ndo fyucha husband wa wema? Ila mastaa bana, wema unadate na mtu mwenye pesa kama huyu hata kama hatujui chanzo cha hizo pesa, basi mkiachana unajishusha thamani una date kale katoto sijui whozu sijui utitili gani si ubaki single tu ijulikane?
Ndogo? Ukooo wenu hata mkigeuzwa mnaweza pata hata asilimia 0.2 ya hizo pesa?Mbona pesa ndogo tu hio hata wewe ukiamua unazipata hasa ukiwa kwenye sekta ya madini. KILA wilaya nchini imejaa madini ni wewe tu
Ndo mana nchi yetu kunahitajika consultants... huwes weka hela zote hizo kwenye bank za ndani... kuna mahali kakosea huyu jamaa.. pamoja na akili zote za kutafuta hizo hela ila kuna eneo anakwama.. anahitaji msaada wa ki profeddional zaidiNi kweli na asiweke benki moja pesa zote
Mkuu kuna watu wanaupeo mdogo sana na mbaya Zaidi vyote hivi wanaishiaga kuona kwenye makaratasi hawajui uhalisia wake$25 Millioni ni hela nyingi sana dunia nzima.
Usijaribu kudanganya watu.
Thamani ya mtu bei gani kwaniNdogo? Ukooo wenu hata mkigeuzwa mnaweza pata hata asilimia 0.2 ya hizo pesa?
Kama aliwezapata wewe unakosajeIla motivational speakers hua hamkosekani aisee.
25M U$D sio pesa ndogo huko duniani labda sijui wewe umeitafsiri vipi, kuanzia 1M U$D ni pesa nyingi.Mbona huulizii why mie ama wewe hatunazo hizo lakini. Kwa Nini unafuatilia utajili wa mtu na sio umasikini wa watu ili ujue chanzo zao wanyanyuke kimaisha watoke kwenye Lindi la umasikini lakini.
Kapata wapi mbona huulizii watu wamepata wapi umasikini Ila mkuu umefanya mpaka nimeogopa ama nikuigope. Yaani shida yako hata Nini. Hizi sio hela nyingi Ni za kawaida ukiweka katika dola Ni kitu Kama dola 25Milioni so ni hela ya kawaida nje sema hapa bongo kwa wamasikini wengi ukiwa hata na dola 10k unavimba kumbe wenzako Ni hela ya kuhonga Tena one night stand.
Tafuta hela take risk,wakati umelala wanaume wenzako wanawaza how to get money or dying getting it ili wakutawale na kizazi chako
Serikali za kiafrikaIshu ya bashite ina mtafuna
nmesoma thread yake jamaa nmeishia kucheka tu ila niseme kuna watu wana ukwasi wa kutisha.Akili yako ndogo Sana
Hizo gari haidaiwi hata moja ..nimekupa hesabu tuassume Nina 0tzs balance nikiuza zote Ni sh ngapi nitakuwa nayo
Vile una ufinyu wa kufikiri unahisi huyo boss Ana acc moja?
Na Ni Nani mwenye Lori elf mbili hapa bongo hivi namba unazijua kweli elf mbili [emoji16] elf mbili[emoji16]
Sasa huyu ni mjinga, ukiwa mtakatishaji hutakiwi kuweka pesa zote hizo benki.. Acha wamtaifishe sasa.Nilisikiaga ni tapeli, wanawauziaga wazungu dhahabu feki huko south Africa, nilisikiaga tu.
Samahani, unaposema ukoo wao wageuzwe, wanageuzwaje yani?Ndogo? Ukooo wenu hata mkigeuzwa mnaweza pata hata asilimia 0.2 ya hizo pesa?
Umejibu vizuri sana, hata kama hujui ingilishi utakuwa una aikiu kubwa.Unadhani ata English najua mkuu basi tu kuiga
Hujajua sababu zilizofanya wazuie na pia hujajua nia ya wao kuzuia, so calm down.Huu ni upumbavu wanazuiaje pesa za mtu kirahisi sana hao TRA ni wachawi sana, hio pesa muhimu sana kwa uchumi wa nchi hasa mzunguko wetu wa pesa