Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake


Vilikuwa vinasemaje?
 

salary zipi zipo tax free tena jamani??? kwamba wafanyakazi wa TRA hawakatwi PAYE kwenye salary zao[emoji81][emoji81][emoji81]

"hii nchi uhuru umezidi"[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hapo kwenye B 50 T$h ni hela ndogo, hapana hapana tuache utani io pesa ni nyingi au umemaanisha ni ndogo kwa kina mo, bakhresa, rostam.

Tuache kuchukulia mambo poa poa, ukiwa na 1B T$h unahesabika ni moja wa ma millionaire duniani.
Milionea wa Masanzakona labda , millionaire ni mtu ambaye ana bilioni 2.3 tshs ambayo ni equivalent na 1M USD na mara nyingi wanaziquantify katika assets na si cash kama wengi mnavyodhani humu ,cash sio asset ,cash ni liability tu ambayo muda wowote inapotea .
 
Watanzania wanaomiliki $1M or 2.5Bn tzs money tunaweza fika wangapi labda
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thaman yako ipo kwenye ubinadamu wako, ukiwa na mentaliy yako ya kujigeuza bidhaa utakuja kununuliwa, utumiwe , uachwe halafu baadaye uanze kulalamika umechezewa.
 
Atakuwa Singa wa ATT Tabora nini huyo?
 
Sina idadi kamili ,ila nina uhakika idadi iliyopo ni ndogo na imetawaliwa na wageni kutoka ulaya ,Asia na kwingineko ,wazawa wapo pia ila wachache .
Watanzania wanaomiliki $1M or 2.5Bn tzs money tunaweza fika wangapi labda
 
Mbona pesa ndogo tu hio hata wewe ukiamua unazipata hasa ukiwa kwenye sekta ya madini. KILA wilaya nchini imejaa madini ni wewe tu
Hizi hela ni nyingi dollar million 25 unaita hela kidogo😆😆.
Acha utani bana, mtu anaweza fikiri wewe una dollar 200 M. Wakati wanaume wote NBC wanagombea milioni 700 ya bongo.
 
Kiwete ana lorry za haja.
 
Statement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.

  • Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
  • Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
  • Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.

Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.

KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…