Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Milionea Ni mtu mwenye milion haijalishi Ni ya wapi hata zimbambwe au Uganda isipokuwa tunachukua au kutumia USD sababu ndo pesa inatumika kila sehemu , japo haina thamani kubwa Kama pound

Hicho kigezo Cha kuwa na assets au cash sidhani Kama kinafanya kazi

Inamaana nikiwa Sina hata kiwanda au chchte ila nimepata hio 1m usd na ipo bank siwezi itwa milionea?

Je nikiwa na assets hizo za 1m USD na hazijaongezeka but cash Nina 2m usd siwezi itwa milionea?
 
Huyo jamaa ni muongo
 
Ni kweli kwa Zanzibar tuliwahi kuwa na project huko na mtu maarufu kutoka Marekani alikuwa anataka atembelee gari la maana, jamani tulipelekwa nyumba ya kijana mwenye miaka 28 ana magari kila mtu alibaki mdomo wazi. Kavaa zake kanzu na sandose zao zile. Kwa Zanzibar naamini kabisa.
 
Hapa umetoa kitu mkuu. Asante nadhani wamekuelewa sasa....
 
Anajishushua heshima??.. kwani Wema ana heshima gani?
 
Cash Ni Current Asset,hio Ni bookkeeping ya wapi inayosema cash Ni liability?
 

Jamaa kafoji statement
 
Nina B za kutosha halafu hela niweke Acc za Bank za EAST AFRICA ntakua naumwa mafua labda...

si mara 100 nichimbe safe nyumbani kwangu nizidumbukize humo kama Mjomba wa MEXICO.
Labda zote ziwe dollar..hela za madafu Serikali ikibadilisha noti ghafla utalia kilio cha mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…