Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Kwani assets muda wowote haziwezi kupotea ?
 
Mleta mada una akili kweli u aulizaje kipato cha mtu kama vile unafanya nae kazi kua na b50+ kama anafanya biashara zake sio kitu cha kuhoji hivyo mambo mengine yaache yapite akikuambia kila wiki anatoa damu ya mtoto mchanga ndio apate hela utaendelea kuhoji we ridhika na life lako wao waache wapambane matawi ya juu
 
Yes Ni masikini kichwani anaamini kuwa hela hizo Ni hadithi za hekaya kuwa mpaka utoe kafara. Ukitaka kumfariji wewe mwambie ivyo ili subconscious yake iku comprehend anachotaka kuamini
 
Wema katika ubora wake enzi hizo
noma sana, kipindi cha nyuma Domo alipokua anakojoa pale
demu alikua na lips nzuri sana, nyekundu ivi alaf so kissable
wali make out kwenye sofa ila ilikua ni picha-1, alaf demu aka vile akawa anamkiss Domo kwa shingo (picha- 2) daah qmmmmmq , Domo nadhani alimwaga pale
 
Pale lazima atakuwa alimwaga. Sema yule kula denda anajua kuna nyingine kamshika kidevu Chaz Baba halafu anamla denda wako kwenye viti
 
Kumbe huyu jamaa ana hela hivi nilikua namdharau najua anatafuta kiki tuu...
 
Huyu choko hana hata m1
 
Hivi TRA hawajui Kama Kuna watu tumezaliwa na bahati zetu Sasa Kama umeokota pesa Bado watataka Kodi , umeokota tanzanite ya billion Bado watataka Kodi ifikie hatua tusiweke pesa bank

Pesa zangu nataka zivuta kidogo kidogo Hadi ziishe
We choko huna hata m1 unatafuta pisi humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…