Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Usangu logistics wanaweza kuwa nazo hizi.
 
Nilisikiaga ni tapeli, wanawauziaga wazungu dhahabu feki huko south Africa, nilisikiaga tu.
Hawezi kuwa tapeli, asingekuwepo. LAZIMA atakuwa ni mtu anafanya biashara halali. KWA MFANO Mimi hapa nilipo, nisipopata mtu wa kunikwamisha, nikiamua tuseme kutengeneza business inipe hata Billion 100 ndani ya miaka michache sana ijayo, natengeneza hiyo biashara na Billion 100 nazikamata. TATIZO NI KUKWAMISHANA
 
To make things public that was a very nice shot!
No complexity will be envisioned in scrutinizing the source of his income.
 
We unaupeo mdogo sana,eti assume nimeuza gari zote 😆😆😆
Biashara unazojua ni zile za motivation speakers wanazokupigia hesabu zako. Nakuuliza biashara ya showroom za magari unaijua au unaiskia? Hiyo biashara ni ya mishen town zaidi tu utapata hela ya kufanyia fujo mjini ila sio utajiri, madogo kariakoo na maduka yao ya vifaa vya magari wanakalisha washkaji kibao wenye showroom kubwa. Kama maana ya utajiri hujui google.
For your information huyo wa malori account kubwa ilikua kwetu sababu ya masharti ya bank facilities tulizokua tunampa na hiyo ni kawaida kabisa kwa bank na mfanyabiashara. Nahisi hakuna utakachoelewa hapa
 
Tafiti zinaonesha wenzetu waislam waioshika dini kweli walio wengi ni waaminifu sana ukilinganisha na idadi ya waaminifu kwa upande wa pili. uaminifu kuanzia kwenye mahusiano, Biashara, kazi etc. Sio watu wa tamaa za kijinga!!!
Hilo ni kweli Kwa mtizamo Wa kidunia japo uaminifu Wa mtu anaujua Mungu
 
Mimi nililikuwa nazo kwenye FDR zikaanza kuwa zinataka kama kuniletea matatizo, sasa hivi nimeshazikomba ZOTE baada ya maturity nimebakiza mil 4 tu kwenye savings
 
Sema jeifu [emoji119]
Unaweza muomba msaada mtu anayetakiwa kukuomba wewe
Yani unakuta amekuzidi uongo tu na confidence ya kimasikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…