Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #261
asante kwa kufichua siriKwake wale wasiomfahamu bwana mkubwa Gondwe ,mwaka 1997/8 tulikuwa naye kwenye uwanja wa damu nyegezi mwanza tukisaka nafasi ya kwenda jeshi la wananchi, Tukiwa mkoani tukiendelea na mchakato huo Gondwe alikosa furs hiyo na mwisho wake akaangukia radio free Africa kama mtangazaji mwanafunzi, kwa historical hiyo fupi angalau mmepata mwanga kidogo kuwa jamaa Toka zamani ndoto zake zilikuwa kuvaa kombati ikashindikana,so mwacheni ajilizishe tu kuvaa maana ilikuwa tamanio lake Toka siku nyingi ,