Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Unachokiona ni Cha kawaida kabisa Kwa muhusika Kuna watu wanafanya makubwa ambayo ukiambiwa tu unaweza usiitamani DuniaNi bora uishi simple kuliko hicho wanachokifanya wajumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokiona ni Cha kawaida kabisa Kwa muhusika Kuna watu wanafanya makubwa ambayo ukiambiwa tu unaweza usiitamani DuniaNi bora uishi simple kuliko hicho wanachokifanya wajumbe
And thats my problem kuwa a man who can do that ni mtu wa hovyo na hatari.Ungekuwa positive usingeonesha chuki za wazi Kwa mtu ambaye hujui anafanya Hivyo Kwa sababu zipi. Ushabiki, uchawa, ukada, yote ni matokeo ya vinavyotusukuma kuwa kwenye Hali kama hizo
Sishangai kwa sabab kuna watu wanafi.rwa watengeneze pesa, sishangaiUnachokiona ni Cha kawaida kabisa Kwa muhusika Kuna watu wanafanya makubwa ambayo ukiambiwa tu unaweza usiitamani Dunia
Mwashamba 😅😅😅😅🙌🏿Lucas mtupu huyu
Dah umechafukwa kwelikweliSishangai kwa sabab kuna watu wanafi.rwa watengeneze pesa, sishangai
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Being maturity enough hutakiwi kureact negatively unapoona matukio yanayo kudisappoint hasa huku kwenye platform ukizingatia mazingira na jambo analolifanya Kwa nani, badala yake ungekuja na ushauri Kwa muhusika namna ya kuwasilisha ujumbe wake Kwa hadhiraAnd thats my problem kuwa a man who can do that ni mtu wa hovyo na hatari.
Dah mkuu punguza ukali wa manenoWewe ni fala kweli unajua huyo nani kuta hapo upo kwa shemeji yako unakuna pumbu huyo ni Mp na anaitwa festo sanga mwenzio anatembelea gari ya cylinder 8 kaa hapo sasa
Kwa haya maelezo wewe utakuwa mkewe au mchepuko wake. Nimekuelewa ndo maana umepaniki sana.Wewe ni fala kweli unajua huyo nani kuta hapo upo kwa shemeji yako unakuna pumbu huyo ni Mp na anaitwa festo sanga mwenzio anatembelea gari ya cylinder 8 kaa hapo sasa
Hapana...mwache tu aongee unajua nimefanya kazi na wadada huwa wanapaniki sana unaposema watu wao... 😁Dah mkuu punguza ukali wa maneno
Shida yetu Huwa tunareact Kwa hisia tu,We ht uzaliwe Mara ya pili huwezi mfikia, amekosea nn, acha mtu ashabikie kt roho yake inapenda. Ametokelezea acha wivu we fukara
Kwa ufupi ni kuwa hauwezi kuwa na fursa ccm ukashabikia upinzani, utakuwa kichaa.Mkiwa na njaa mnaona wenzenu wanakosea kwa kilakitu 💩 mtu ashindwe kuinjoi chama akipendacho akuhofie wew jobless usiyemudu maisha eti utamuonaje...
Guys maisha ni kuishi na kuinjoi ukipendacho... Kama wew unavyo injoi kukunja ngumi na kuvaa nguo za kaki kama migambo ya jiji, basi acha naye ainjoi kivyake...
WaTz mnakufa mapema kwasababu ya chuki makasiriko wivu na ushirikina
Umejuaje na wewe kama anataka sifa.Hongera mkuu kwa uwezo wako wa kusoma mawazo ya wengine!!
inajipiga picha mwenyewe na unajipost mwenyewe. unajiuliza mwenyewe. aah!!Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309