Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Ungekuwa positive usingeonesha chuki za wazi Kwa mtu ambaye hujui anafanya Hivyo Kwa sababu zipi. Ushabiki, uchawa, ukada, yote ni matokeo ya vinavyotusukuma kuwa kwenye Hali kama hizo
And thats my problem kuwa a man who can do that ni mtu wa hovyo na hatari.
 
Wewe ni fala kweli unajua huyo nani kuta hapo upo kwa shemeji yako unakuna pumbu huyo ni Mp na anaitwa festo sanga mwenzio anatembelea gari ya cylinder 8 kaa hapo sasa
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
 
And thats my problem kuwa a man who can do that ni mtu wa hovyo na hatari.
Being maturity enough hutakiwi kureact negatively unapoona matukio yanayo kudisappoint hasa huku kwenye platform ukizingatia mazingira na jambo analolifanya Kwa nani, badala yake ungekuja na ushauri Kwa muhusika namna ya kuwasilisha ujumbe wake Kwa hadhira
 
Wewe ni fala kweli unajua huyo nani kuta hapo upo kwa shemeji yako unakuna pumbu huyo ni Mp na anaitwa festo sanga mwenzio anatembelea gari ya cylinder 8 kaa hapo sasa
Dah mkuu punguza ukali wa maneno
 
Wewe ni fala kweli unajua huyo nani kuta hapo upo kwa shemeji yako unakuna pumbu huyo ni Mp na anaitwa festo sanga mwenzio anatembelea gari ya cylinder 8 kaa hapo sasa
Kwa haya maelezo wewe utakuwa mkewe au mchepuko wake. Nimekuelewa ndo maana umepaniki sana.
 
Mkiwa na njaa mnaona wenzenu wanakosea kwa kilakitu 💩 mtu ashindwe kuinjoi chama akipendacho akuhofie wew jobless usiyemudu maisha eti utamuonaje...
Guys maisha ni kuishi na kuinjoi ukipendacho... Kama wew unavyo injoi kukunja ngumi na kuvaa nguo za kaki kama migambo ya jiji, basi acha naye ainjoi kivyake...
WaTz mnakufa mapema kwasababu ya chuki makasiriko wivu na ushirikina
Kwa ufupi ni kuwa hauwezi kuwa na fursa ccm ukashabikia upinzani, utakuwa kichaa.
 
huyu ni baba,kiongozi,tajiri mkubwa ,kioo cha jamii anatufundisha nini
 
Kila Mtu ana utashi wake...Kwa nini ujione upo sahihi?
 
Back
Top Bottom