minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wenje amemuonea sana Lisu, kunbuka chanzo ni Wenje kujipeleka nyumbani kwa lisu kwa nia mbaya ya kumdhoofisha kisiasa, lisu alipomshitukia wakaanza njama zinginezo za kumg’oa kwenye umakamu mwenyekiti, lakini kwa kuwa Lisu ana marafiki wengi ndani ya uongozi wa juu wakampa taarifa zote za njama za mbowe na Wenje, ndipo wakamshauri agombee uenyekiti kwa kuwa sasa mbowe na Wenje siyo watu wazuri kwake, ndipo Lisu akatangaza ghafra kwa kumshitukiza Mbowe kabla hajajipanga kumhujumu zaidi, baada ya kutangaza kuwania uenyekiti mbowe alipandwa na pressure kubwa hakupata usingizi akataka kufanya umafia kama aliomfanyia zito wangwe na sasa Heche lakini chawa wa mbowe ambao wana upendo wa moyoni na Lisu wakamtaarifu kila kitu ndipo Lisu akamwambia mbowe kuwa anajua kila kitu anachopanga juu yake Mbowe slammers, sasa anatumia pesa kuwanunua Wajumbe tu ili siku ya uchaguzi wamsaidie kupora ushindi wa lisu kwa njia za uchakachuaji tu