Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852

Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa sio kuchangisha wajumbe wa Kamati Kuu kwani hilo sio jukumu la mjumbe wa Kamati Kuu.

View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Apunzike kabisa
 
Nitakwambia ni nini ni bora kuliko hizo Pesa..., Message inayoeleweka na wanachama ambao wanaunganishwa na hio message, kama tukianza kuongelea Pesa kama Mafanikio ya Chama basi CCM is and will always be Head and Sholders above all...
 
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

chama kinaendeshwa kwa mkopo zaidi ya miaka 8 sasa, wewe unakataa na eti unaumia mzalendo kuchangia huto tupesa tudogo tu unaweweseka 🤣

kama huna pesa na huchangii chochote, unababaika nini kwa walio na pesa na wanaojitolea kuchangia chama?

Chadema inahitaji mtu makini anaejitegemea kiuchumi na anaejitolea kama Freeman Aikaeli Mbowe,

Sasa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atachangia nini au atasaidia nini chadema? mdomo na makelele au?🐒
 
Wenje anadai Lissu alimtuhumu Mbowe kununua magari kwa kupewa hela na CCM na tuhuma hizo alizifikisha kwenye kamati kuu ya Chama.

Anadai Mbowe alikuja kukanusha hayo madai kupitia ushahidi.

Lakini Wenje hapo yupo huru kuongea yale yaliyokuwa chini ya kamati kuu, bila shida yeyote. Lakini siku Lissu akiongea utasikia hana busara anatoa siri za Chama hadharani.
 
Wenje kwakweli kageuka dalali
 
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Hiyo namba 1-4 inahitaji kuitengea fedha? Kwa ajili ya matumizi gani?
 
Chama hakina Lisu kachangia Shilingi ngapi mkutano mkuu?

Anachangia tu.kupiga domo?
Kwani kuchangia chama ni jukumu la kiongozi?
Huyu Mbowe kachoka, anadhani chama ni familia yake?
Aache ubabaishaji ambao baadaye anakuja kudai mamilioni alipwe na chama.
Hizo pesa zimeingia akaunti gani na kwa makubaliano ya kikao kipi cha chama.
Chama kinaonekana cha wahuni
 
chama kinaendeshwa kwa mkopo zaidi ya miaka 8 sasa, wewe unakataa na eti unaumia mzalendo kuchangia huto tupesa tudogo tu unaweweseka 🤣

kama huna pesa na huchangii chochote, unababaika nini kwa walio na pesa na wanaojitolea kuchangia chama?

Chadema inahitaji mtu makini anaejitegemea kiuchumi na anaejitolea kama Freeman Aikaeli Mbowe,

Sasa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atachangia nini au atasaidia nini chadema? mdomo na makelele au?🐒
Machawa mnatetea ugali wenu.
Awamu hii mbowe atabaki na nyie machawa tu. Chama lazima kipate mawazo mapya na mbadala.
 
Back
Top Bottom