Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

Mkuu Scars

Umeupitia waraka wa marehemu Wenje?

Mbowe anafanya madudu makubwa sana!
Marehemu???

Nilikuwa naangalia interview yake aliyofanya Wasafi.

Sema nilichogundua waandishi wa pale uwezo wao ni wa wastani sana katika kuhoji watu maswali.

Kuna maswali ambayo wameyauliza kirahisi na mengine hawajayauliza kabisa.

Ndio maana kwangu kuna waandishi watatu tu kwenye hiyo field ya maswali ambao wanafanya poa.
 
Wenje alimwambia aonyeshe wapi na wapi alikikopesha chama na kwa kufuata utaribu upi!

Na hicho kiasi anachokidai aonyeshe matumizi mchanganuo wake pamoja na risiti halali!

Mbowe anakuja tu anasema nimekikopesha chama!

Ajabu marehemu Wenje kufuatilia anaona gharama alizozitoza Mbowe anatoza kwa viwango vya mtalii anavyotozwa.

Na hata pesa alizozitumia kununulia baadhi ya vitendea kazi kwa ajili ya Chama ambavyo Mbowe anasema alitumia pesa yake kuikopesha ofisi, amejibinafsishia na kuwa vya kwake binafsi na si vya chama.

Huyu Mbowe tulichelewa kumjua!
Safari tunamfurusha tu vinginevyo akubali kumalizia mwendo kama huyu mjinga mwenzake hapa
 
Attachments

  • GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
    GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
    68.5 KB · Views: 1
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa.

Mimi nilielewa kwamba walipeana targets hao viongozi, na yeye mwenyekiti ili kufanikisha zoezi hilo, yeye kachangia Sh250,000,000 na wengine pia. Sasa wewe ulielewaje?
 
Marehemu???

Nilikuwa naangalia interview yake aliyofanya Wasafi.

Sema nilichogundua waandishi wa pale uwezo wao ni wa wastani sana katika kuhoji watu maswali.

Kuna maswali ambayo wameyauliza kirahisi na mengine hawajayauliza kabisa.

Ndio maana kwangu kuna waandishi watatu tu kwenye hiyo field ya maswali ambao wanafanya poa.
Nilichanganya majina, ni Chacha Wangwe!

Ni yule wa Musoma aliyefariki kwa ajali jina lake limenitoka. Alikuwa anagombania nafasi ya uewenyekiti Chadema ndipo mauza uza yakaanza kwake mpaka akafa kwa ajali.

Niliamua kurudi nyuma kwenda kutafuta waraka wake. Aliyoyasema ndiyo madudu ambayo Lissu anayoyasema na kuwekwa wazi na baadhi wa wajumbe.

Nikarudi kwenda kutafuta taarifa za marehemu mchungaji Mtikila kuhusu Chadema yaani ndiyo mulemule!

Mbowe si mzuri! Ni mtu mbinafsi, anafanya biashara kupitia siasa, ni mkanda, anachagua sana watu wa ukanda wake. Na amekuwa akibadilisha majina kinyume na kamati ilivyopendekeza.

Nimejifunza kutodharau kitu! Haya mambo tangu zamani waliyajua ila tuliyapuuza.
 
Itakuwa nimechanganya majina kiongozi!

Chacha Wangwe.
 
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa.

Rudi kasikilize clip vizuri.
Usiwe mjuaji wakati hata uwezo wa kuelewa huna.

Mbowe sio kamati kuu, kamati kuu imeamua namna ya kupata fedha za mkutano, huyo Lissu wako ni mjumbe wa kanati kuu .

Kutokana na deficit kila mjumbe amepangiwa kuasi cha kutafuta na kuleta Lissu wako amepangiwa sh milioni 30 na hajatoa hata shilingi. Sasa ulitaka mkutano mkuu usifanyike?

Ulivyo huna akili eti unasema wajumbe wanaweza kujisafirisha yaani huelewi taasisi inavyofanya kazi. Kila jambo huamuliwa na mwenye mandate kwa namna inavyofaa. Isitoshe kama mjumbe akiamua kujigharamia katika mkutano huo na akakataa kuchukua posho ya kujikimu kwani analazimishwa kuchukua?

Hiyo mikutano mikuu ya tawi hadi wilaya haihitaji posho kwa sababu mjumbe anaweza kwenda kuhudhuria mkutano na kurejea nyumbani siku hiyo hiyo bila kulazimika kulala.

Posho ya kukikimu hulipwa pale mjumbe anapolaka nje ya nyumbani kwake hivyo kwa chama chenu mkutano wa ngazi ya mkoa kwa baadhi ya wajumbe wanaotoka wilaya za mbali wanalazimika kulipwa posho za kujikimu.

Hizo posho watakazolipwa wajumbe wa mkutano mkuu wamo pia wale watajaompigia kura Lissu.

Kila ngazi ya chama ina mamlaka ya kufanya maamuzi juu ya jambo lililo mbele yake kwa kufuata taratibu zao walizojiwekea sio kufuata porojo za kila mpumbavu mtandaoni anawaza nini.

Kujua kubonyeza key board haimaanishi kichwani pia akili za kudadavua mambo zimo.
 
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,

Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.

Naomba unijubu maswali haya,

1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?

2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?

3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?

4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?

5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?

6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?

7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?

Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!

Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!

Hii TZS250M ni rushwa toka CCM

Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa.

Duuh, duuh, duuh...!

Ama kweli rushwa hupofusha ufahamu na akili za viongozi...

Yaani kumbe Freeman Mbowe ameamua kuununua mkutano mkuu wote (obvious ni rushwa) kwa fedha zake...?

Labda Wenje angesema Freeman Mbowe amekikopesha chama 250M Ili kugharamia mkutano mkuu, kidogo mjadala ungekuwa na uelekeo tofauti...

Sasa mfano yeye Hezekiah Wenje hapo alipo, kama kaambiwa atoe milioni 20 kuchangia mkutano mkuu tu, anaweza kutueleza hizo pesa kazipata wapi kwa uwazi kabisa? Katoa kwenye bajeti ya matumizi ya familia yake? Really?

Kwenye hili Tundu Lissu Yuko very smart if I can say so...

Tujiulize tu swali rahisi kama hili:

Hivi Tundu Lissu akiamua kutangaza tu Sasa hivi toka kwa wapenzi na mashabiki wake kuwa zinahitajika TZS 30,000,000 kugharamia shughuli ya chama, atakosa ndani ya masaa 24...?

Nawakikishia kwa situation iliyopo Sasa ndani ya CHADEMA, hata angesema milioni 100 zinachangwa fast ndani ya muda mfupi sana...!

Hezekiah Wenje na Team Mbowe, Sasa mnatuthibitishia kwa uwazi kabisa kuwa nyie RUSHWA na HONGO kumbe ni mchezo wetu na mmeshafunga ndoa nao...

Honestly, wewe Wenje na boss wako Freeman Mbowe na genge lenu lote hamstahili kuwa ndani ya CHADEMA as we speak now..!

Unadharau milioni 107 ya ruzuku kuwa haiwezi kufanya lolote ndani ya chama?

Ina maana CHADEMA hamna mpango kazi? Hamkujua kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa uchaguzi miezi kadhaa nyuma na kuweka sawa mipango ya kuugharamia mkutano kwa fedha safi zisizo na shaka..?

Hezekiah Wenje nimekudharau kabisa. You are not smart...!!
 
Safari tunamfurusha tu vinginevyo akubali kumalizia mwendo kama huyu mjinga mwenzake hapa
Mbowe amecheza michezo michafu mingi sana ndani ya Chadema, na ni mbabe. Chadema ni kitega uchumi chake.

Chama cha Republican na Conservative cha UK kuna kipindi walitoa msaada kwa Chadema na lengo Chadema waweze kuwa na network nzuri kwa kuwa na vifaa vya kuweza kuratibu shughuli zao za kisiasa.

Mbowe alipiga hizo pesa hakununua hata kifaa kimoja zikowemo pikipiki. Hakuna hata moja alizonunua.

Hivyo vyama waliomba risiti kujiridhisha pesa zao zilivyotumika Mbowe alipeleka risiti za kughushi na kupelekea hivyo vyama kulalamika sana.

Hata baadhi ya viongozi wake walivyofika hapa Mbowe alipiga chenga kwenda kuonana nao.

Mbowe hatoki na hatoachia madaraka kwenye hicho chama. Kwake siasa ni biashara na connection.
 
Wenje anadai Lissu alimtuhumu Mbowe kununua magari kwa kupewa hela na CCM na tuhuma hizo alizifikisha kwenye kamati kuu ya Chama.

Anadai Mbowe alikuja kukanusha hayo madai kupitia ushahidi.

Lakini Wenje hapo yupo huru kuongea yale yaliyokuwa chini ya kamati kuu, bila shida yeyote. Lakini siku Lissu akiongea utasikia hana busara anatoa siri za Chama hadharani.
Wenje amelazimika kujibu na hajakichafua chama bali ameprove kuwa Lissu alizungumza uzushi kama asingejibu chana kingechafuka zaidi walau kajibu amesaidia kukisafisha chama
 
Duuh, duuh, duuh...!

Ama kweli rushwa hupofusha ufahamu na akili za viongozi...

Yaani kumbe Freeman Mbowe ameamua kuununua mkutano mkuu wote (obvious ni rushwa) kwa fedha zake...?

Labda Wenje angesema Freeman Mbowe amekikopesha chama 250M Ili kugharamia mkutano mkuu, kidogo mjadala ungekuwa na uelekeo tofauti...

Sasa mfano yeye Hezekiah Wenje hapo alipo, kama kaambiwa atoe milioni 20 kuchangia mkutano mkuu tu, anaweza kutueleza hizo pesa kazipata wapi kwa uwazi kabisa? Katoa kwenye bajeti ya matumizi ya familia yake? Really?

Kwenye hili Tundu Lissu Yuko very smart if I can say so...

Tujiulize tu swali rahisi kama hili:

Hivi Tundu Lissu akiamua kutangaza tu Sasa hivi toka kwa wapenzi na mashabiki wake kuwa zinahitajika TZS 30,000,000 kugharamia shughuli ya chama, atakosa ndani ya masaa 24...?

Nawakikishia kwa situation iliyopo Sasa ndani ya CHADEMA, hata angesema milioni 100 zinachangwa fast ndani ya muda mfupi sana...!

Hezekiah Wenje na Team Mbowe, Sasa mnatuthibitishia kwa uwazi kabisa kuwa nyie RUSHWA na HONGO kumbe ni mchezo wetu na mmeshafunga ndoa nao...

Honestly, wewe Wenje na boss wako Freeman Mbowe na genge lenu lote hamstahili kuwa ndani ya CHADEMA as we speak now..!

Unadharau milioni 107 ya ruzuku kuwa haiwezi kufanya lolote ndani ya chama?

Ina maana CHADEMA hamna mpango kazi? Hamkujua kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa uchaguzi miezi kadhaa nyuma na kuweka sawa mipango ya kuugharamia mkutano kwa fedha safi zisizo na shaka..?

Hezekiah Wenje nimekudharau kabisa. You are not smart...!!
Umaelewa maana ya neno mpango kazi au umekariri tu?

Chama hakina gharama za matumizi za uendeshaji wa ofisi kika mwezi? Zinatoka wapi? Au unafikiri kazi ni mkutano mkuu tu,

Mjumbe kutoa pesa tena katika kapu la matumizi ya ofisi inakuwaje rushwa kwa mjumbe mmoja mmoja wakati wajumbe watalipwa na ofisi na kama sio haya majibizano ya mtandaoni hata wasingejua vyanzo vya pesa vimetoka wapi.
CDM wana vikao vyao na mambo yao huyazungumza katika vikao na maamuzi hufanywa na vikao ni ajabu wapuuzi humu wanataka wajumbe wa vikao waamue kwa kufuata mawazo yao mtandaoni.

Kama wewe ni mjumbe halali wa kikao na unafahamu namna bora zaidi ya kupata fedha za kuendeshea ofisi kwa nini usiyaseme hayo mawazo yako katika vikao ili wajumbe wakiafiki wayafuate?
 
Rudi kasikilize clip vizuri.
Usiwe mjuaji wakati hata uwezo wa kuelewa huna.

Mbowe sio kamati kuu, kamati kuu imeamua namna ya kupata fedha za mkutano, huyo Lissu wako ni mjumbe wa kanati kuu .

Kutokana na deficit kila mjumbe amepangiwa kuasi cha kutafuta na kuleta Lissu wako amepangiwa sh milioni 30 na hajatoa hata shilingi. Sasa ulitaka mkutano mkuu usifanyike?

Ulivyo huna akili eti unasema wajumbe wanaweza kujisafirisha yaani huelewi taasisi inavyofanya kazi. Kila jambo huamuliwa na mwenye mandate kwa namna inavyofaa. Isitoshe kama mjumbe akiamua kujigharamia katika mkutano huo na akakataa kuchukua posho ya kujikimu kwani analazimishwa kuchukua?

Hiyo mikutano mikuu ya tawi hadi wilaya haihitaji posho kwa sababu mjumbe anaweza kwenda kuhudhuria mkutano na kurejea nyumbani siku hiyo hiyo bila kulazimika kulala.

Posho ya kukikimu hulipwa pale mjumbe anapolaka nje ya nyumbani kwake hivyo kwa chama chenu mkutano wa ngazi ya mkoa kwa baadhi ya wajumbe wabaotoka wilaya za mbali wanalazimika kulipwa posho za kujikimu.

Hizo posho watakazolipwa wajumbe wa mkutano mkuu wamo pia wale watajaompigia kura Lissu.

Kila ngazi ya chama ina mamlaka ya kufanya maamuzi juu ya jambo lililo mbele yake kwa kufuata taratibu zao walizojiwekea sio kufuata porojo za kila mpumbavu mtandaoni anawaza nini.

Kujua kubonyeza key board haimaanishi kichwani pia akili za kudadavua mambo zimo.
CHADEMA haikujua toka mwanzo miezi kadhaa kuwa kutakuwa na mkutano mkuu na utahitaji gharama kiasi fulani na hivyo kuandaa taratibu safi na za wazi kupata hizo fedha kuugharamia huo mkutano..?

Hizo pesa wanazitoa mifukoni mwao kama sadaka au wanakikopesha chama...?

Watarudishiwaje hizo fedha? Kwa njia gani na kutoka wapi..?

Mleta mada ameuliza maswali ya muhimu na msingi sana, kwamba, kwenye ngazi za chini mashina, vijiji, kata, wilaya, mikoa, majimbo na Kanda kumefanyika chaguzi na shughuli mbalimbali za chama...

Maswali ni:

1. Nani katoa fedha hizo kugharamia chaguzi na shughuli za chama ktk ngazi hizo...?

2. Je, ni fedha za Freeman Mbowe, Wenje na wajumbe wa hiyo inayoitwa "kamati kuu" ndiyo walichangia kugharamia..?

3. Je, sio wanachama wenyewe walijichanga na kujigharamia?

4. Mbona mnataka kuwabagaza na kuwadhalilisha wanachama wa CHADEMA waliojitoa miaka yote kukibeba chama? Kuna nini huko CHADEMA sasa..?

No way!!

Hii siyo sawa. Na sasa ni wazi kuwa CHADEMA inawezekana Iko kwenye mifuko ya watu fulani..

Huu uropokaji senseless wa Hezekiah Wenje ni kwa sababu rushwa imeshawaposha akili na ufahamu wao...!

Now we know you..!!!
 
Maswali yako nimeyajibu soma nyuzi zangu humu utapata majibu.

Pili kajufunze namna ngazi mbalimbali za utawala zinavyofanya kazi kabla ya kudandia hoja.

Maelezo ya Wenje hayajasema wajumbe wa kamati kuu wameagizwa wakikopeshe chama bali amesema wamaagizwa watafute fedha walete kila mmoja amepangiwa kima mfano Lissu wako anatakiwa alete sh mikioni 30, mchangieni apeleke.
 
Umaelewa maana ya neno mpango kazi au umekariri tu?

Chama hakina gharama za matumizi za uendeshaji wa ofisi kika mwezi? Zinatoka wapi? Au unafikiri kazi ni mkutano mkuu tu,

Mjumbe kutoa pesa tena katika kapu la matumizi ya ofisi inakuwaje rushwa kwa mjumbe mmoja mmoja wakati wajumbe watalipwa na ofisi na kama sio haya majibizano ya mtandaoni hata wasingejua vyanzo vya pesa vimetoka wapi.
CDM wana vikao vyao na mambo yao huyazungumza katika vikao na maamuzi hufanywa na vikao ni ajabu wapuuzi humu wanataka wajumbe wa vikao waamue kwa kufuata mawazo yao mtandaoni.

Kama wewe ni mjumbe halali wa kikao na unafahamu namna bora zaidi ya kupata fedha za kuendeshea ofisi kwa nini usiyaseme hayo mawazo yako katika vikao ili wajumbe wakiafiki wayafuate?
Hebu soma majibu yangu kwako hapo juu bandiko #54..

Kama hujui hata nina maana gani kusema "mpango kazi", basi wewe ni mjinga unayestahili kuelimishwa...!

Na kwa maelezo ya Hezekiah Wenje, unadhani Tundu Lissu anashindwa kupata TZS 30,000,000 kama kweli hoja hiyo Ina uhalali wowote wa kimaadili na kisheria..?

Sikiliza ndugu RMC, usiwe mjinga kiasi cha kufikiri kuwa chochote kinachoamuliwa na hiyo inayoitwa "Kamati kuu ya CHADEMA" ni sahihi kimaadili na kisheria..

Let's all agree kuwa, there's something wrong ndani ya CHADEMA hii...!

Inawezekanaje viongozi wa CHADEMA sasa wamefikia kiwango cha kuwabeza na kuwadharau wanachama, mashabiki na wapenzi wao kiasi hiki..?

Miaka yote wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki mlipoomba kuchangiwa, tuliitikia bila tashwishwi. Leo kitu gani kimebadilika? Kwa idadi ya wanachama, mashabiki na wapenzi tushindwe kupata pesa halali 750,000,000 kugharamia shughuli badala yake mnapewa pesa na matajiri tena walio nje ya CHADEMA halafu mnadai "wajumbe wa kamati kuu" wamekubaliana kuchangia? Really? Mnamdanganya nani asiye na akili huyo..?

Hebu tujiulize:

Vikao vya chini huko majimboni, mikoani, wilayani na katani hadi ngazi ya msingi huko, nyie hao mnaojiita "wajumbe wa kamati kuu" huwa mnatoa pesa zenu kugharamia shughuli za chama huko..?

Nyie pumbavu kabisa. Mnataka kukinunua na pengine kukiuza chama kwa wenye pesa Ili muamua kwa matakwa yao...?

This is not acceptable...!
 
Maswali yako nimeyajibu soma nyuzi zangu humu utapata majibu.

Pili kajufunze namna ngazi mbalimbali za utawala zinavyofanya kazi kabla ya kudandia hoja.

Maelezo ya Wenje hayajasema wajumbe wa kamati kuu wameagizwa wakikopeshe chama bali amesema wamaagizwa watafute fedha walete kila mmoja amepangiwa kima mfano Lissu wako anatakiwa alete sh mikioni 30, mchangieni apeleke.
Kuagizwa kutafuta pesa kutoka wapi kwa kificho kama sio kufungua mlango wa pesa za Abdul na Mama yake kuingia ndani ya chama...?

Miaka yote taratibu na mipango ya kutafuta pesa za kuendesha au kugharamia shughuli fulani ndani ya CHADEMA mfano kampeni, uchaguzi nk hufanyika kwa uwazi (transparently) kwa njia ya harambee, michango nk na kila mtu kusema kwa uwazi. Leo imekuwaje mambo yafanyike gizani...?

Hiki ndicho ambacho wanachama na wapenzi wa CHADEMA wanakishitukia. Tunatafuta ushahidi wa rushwa wakati kila kitu Kiko wazi...?

Hawa waliopewa kazi ya kutafuta pesa kwa njia ya kificho, wanatumia njia gani kizipata ambazo wakiziweka wazi tutakubaliana nao..?

Hivi wewe, kwa mfano, umwambie mtu kama Hezekiah Wenje akatafute TZS 30,000,000; atazipataje kwa kufikiria tu....

By the way, si unajua kuwa yeye (Wenje) ni kiongozi mkuu wa Kanda ya Ziwa Victoria?
..?

Ana influence na uwezo kuamusha hamasa au siyo...?

Je, unadhani kwa influence yake hiyo ana uweza ku - influence wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA ktk Kanda yake kuchangia pesa hiyo (30M) tu ili kugharamia shughuli za chama kwenye Kanda yake...? Anaweza...????

Acheni ujinga wa kujaribu kudanganya watu wazima wenye akili timamu hapa...
 
Wenje amelazimika kujibu na hajakichafua chama bali ameprove kuwa Lissu alizungumza uzushi kama asingejibu chana kingechafuka zaidi walau kajibu amesaidia kukisafisha chama
Na ndio sababu hizo hizo ambazo Lissu anazitumia kujibu mapingamizi ya Wenje.

Sisi tunaamini Lissu anaongea ukweli kwasababu alianza kukemea rushwa kwenye mikutano ya Chadema.

Nakumbuka moja ya mkutano aliufanya akiwa Mwanza (kama nitakuwa sahihi) Lissu alisema rushwa inapaswa kukemewa hadharani.

Alisema Chama chao kimekuwa kina uhaba wa pesa siku zote lakini ilipofikia kipindi cha uchaguzi watu wanakuwa na maburungutu ya pesa.

Lissu alisema habari za kusema hizo ni siri za ndani za Chama ni kufuga ubovu kwasababu rushwa lasima ikemewe hadharani.

Kwa hiyo hainitatizi kusikia Lissu akimtaja Wenje au kiongozi yeyote wa Chadema kwa shutuma za rushwa.
 
Hebu soma majibu yangu kwako hapo juu bandiko #54..

Kama hujui hata nina maana gani kusema "mpango kazi", basi wewe ni mjinga unayestahili kuelimishwa...!

Na kwa maelezo ya Hezekiah Wenje, unadhani Tundu Lissu anashindwa kupata TZS 30,000,000 kama kweli hoja hiyo Ina uhalali wowote wa kimaadili na kisheria..?

Sikiliza ndugu RMC, usiwe mjinga kiasi cha kufikiri kuwa chochote kinachoamuliwa na hiyo inayoitwa "Kamati kuu ya CHADEMA" ni sahihi kimaadili na kisheria..

Let's all agree kuwa, there's something wrong ndani ya CHADEMA hii...!

Inawezekanaje viongozi wa CHADEMA sasa wamefikia kiwango cha kuwabeza na kuwadharau wanachama, mashabiki na wapenzi wao kiasi hiki..?

Miaka yote wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki mlipoomba kuchangiwa, tuliitikia bila tashwishwi. Leo kitu gani kimebadilika? Kwa idadi ya wanachama, mashabiki na wapenzi tushindwe kupata pesa halali 750,000,000 kugharamia shughuli badala yake mnapewa pesa na matajiri tena walio nje ya CHADEMA halafu mnadai "wajumbe wa kamati kuu" wamekubaliana kuchangia? Really? Mnamdanganya nani asiye na akili huyo..?

Hebu tujiulize:

Vikao vya chini huko majimboni, mikoani, wilayani na katani hadi ngazi ya msingi huko, nyie hao mnaojiita "wajumbe wa kamati kuu" huwa mnatoa pesa zenu kugharamia shughuli za chama huko..?

Nyie pumbavu kabisa. Mnataka kukinunua na pengine kukiuza chama kwa wenye pesa Ili muamua kwa matakwa yao...?

This is not acceptable...!
Hicho unachoita mpango kazi sio kuwa ninakifahamu bali maisha yangu yote ya kazi kuandaa mpango kazi ni sehemu ya kazi yangu kwa hiyo ninafahamu kuliko wewe unayekariri. Mpango kazi unaendana na bajeti na kila ngazi ya uongozi ina majukumu yake na bajet yake na mpango kazi wake.

Katika ngazi ya tawi, jimbo, wilaya pesa inayihitajika siyo kubwa kwa sababu hakuna mjumbe anayelipwa pesa ya malazi; mjumbe anakuja na kurudi nyumbani kwake. Pili uongozi wa ngazi hizo ni jukumu lake kugharimia uendeshaji wa ofisi kwa ngazi hiyo hata kama sehemu ya bajeti yake inatoka hq.

Suala la kuchangia si la lazima kwa mwanachama kwa sababu kwanza linategemea uwezo wa mwanachama na inategemea anavyoguswa.

Hiyo idadi ya wanachama inaweza kuwa sio sahihi na ilikuzwa makusudi au hata kama ni sahihi ni historical sio updated. Mtu anaweza xkuwa mwanachama wa chama fulani kisha kuacha kimya kimya.

Busara ya kawaida kama kamati kuu nzima imepotoka kama Lissu na nyie mnaomshabikia blindly mnavyoamini basi ufumbuzi ni kujitenga na kuanzisha chama chenu ili sasa kiyafanye hayo yaliyo sahihi. Hao mnaodai wananchi watawafuata huko mtakakoenda.

Haitatokea kamati kuu ikae kujadili jambo kwa kufuata maoni ya mtandaoni tena ya watu wenye poor reasoning.
 
Back
Top Bottom