Hicho unachoita mpango kazi sio kuwa ninakifahamu bali maisha yangu yote ya kazi kuandaa mpango kazi ni sehemu ya kazi yangu kwa hiyo ninafahamu kuliko wewe unayekariri. Mpango kazi unaendana na bajeti na kila ngazi ya uongozi ina majukumu yake na bajet yake na mpango kazi wake.
Kama unaelewa, ulikuwa unaleta chokochoko za nini sasa...?
Sasa niambie, kwenye kipengere cha "kugharamia mkutano mkuu wa uchaguzi mwaka 2024" bajeti yenu inasema source ya funding ya mkutano huo itatoka wapi? Wajumbe wa kamati kuu kutoa pesa zao toka kwenye mfuko yao? Huo unadhani ni utaratibu mzuri? Is it sustainable?
Katika ngazi ya tawi, jimbo, wilaya pesa inayihitajika siyo kubwa kwa sababu hakuna mjumbe anayelipwa pesa ya malazi; mjumbe anakuja na kurudi nyumbani kwake.
Kwa hiyo fedha ktk ngazi hizi hahitajiki? Is this what you mean....?
Pili uongozi wa ngazi hizo ni jukumu lake kugharimia uendeshaji wa ofisi kwa ngazi hiyo hata kama sehemu ya bajeti yake inatoka hq.
Hapo ☝🏻☝🏻☝🏻 juu umesemaje kwani?
Si umesema hazihitajiki pesa kwa kuwa wajumbe kama kuna shughuli au kikao makao makuu ya jimbo au wilaya au mkoa au kanda basi watakuja na kurudi kulala makwao?
Sina hakika hata kama unajua unacho argue hapa Ndugu
RMC a.k.a bwana mipango a.k.a Mr Planning Officer...
Well: Chukua mfano kanda ya Victoria anayoingoza huyo dalali wenu wa rushwa za Abdul Mr Wenje...
Kanda hii ina mikoa mitatu: Mwanza, Geita na Kagera. Kwa hiyo kama kuna kikao cha kanda huko Mwanza cha siku mbili wajumbe wa Bukoba, Ngara, Chato, Biharamulo watakuja Mwanza kwenye kikao na "watakuwa wanarudi kwenda kulala makwao, au siyo..?
Sikiliza bwana
RMC, HQ inatakiwa kubakiwa na 20% tu ya mapato ya chama and the rest (80%) lazima kishuke chini ambako ndiko kwenye watu na wanachama na shughuli za chama zilipo...
Huu ujinga wa kusema HQ ina shughuli nyingi muache. Maana hakuna cha shughuli nyingi wala nini bali ni pesa kulipa madeni hewa ya kutengeneza kama haya mnayosema "wajumbe wa kati kuu wamekubaliana huyu atafute milioni 20, yule 30, yule 50 nk na eti mwenyeki Freeman Mbowe eti 250M...
Hizi pesa zinatolewa na ma CCM kama rushwa kwenu, baadaye mnazidai kulipwa kama madeni yenu. Kama mnafikiri haijulikani, mnajidanganya...
Suala la kuchangia si la lazima kwa mwanachama kwa sababu kwanza linategemea uwezo wa mwanachama na inategemea anavyoguswa.
Umesikiliza interview ya Hezekiah Wenje Wasafi TV & radio leo....?
Unageuka na kudanganya tena..?
Hiyo idadi ya wanachama inaweza kuwa sio sahihi na ilikuzwa makusudi au hata kama ni sahihi ni historical sio updated. Mtu anaqeza xkuwa mwanachama wa chama fulani kisha kuacha kimya kimya.
Idadi gani ya wanachama? Nani kaitaja hiyo idadi..?
All in all, CHADEMA ina wanachama, wapenzi na mashabiki mamilioni Tanganyika na duniani kote. Chama hakiwezi kukosa pesa hata bilioni kadhaa kama tuna uongozi thabiti, credible na unaoaminika...
Chama kipo kwenye ukata hata kuwa vulnerable kwa fedha za rushwa za Abdul na mama Abdul wa CCM kwa sababu wanachama hawauamini uongozi huu tena chini ya Freeman Mbowe na kwa hiyo hawawezi kutoa pesa zao kuliwa na kikundi kidogo cha huyu bwana....!
Busara ya kawaida kama kamati kuu nzima imepotoka kama Lissu na nyie mnaomshabikia blindly mnavyoamini basi ufumbuzi ni kujitenga na kuanzisha chama chenu ili sasa kiyafanye hayo yaliyo sahihi. Hao mnaodai wananchi watawafuata huko mtakakoenda.
Kama kamati kuu imepotoka, suluhu sio kukimbia wala kuanzisha chama bali ni kukubali kuwa liko tatizo na ni vyema litatuliwe kwa haraka..
Na tatizo liko very clear. Ni tatizo la leadership chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe...
Tundu Lissu hatakimbia wala sisi wafuasi wake. Tutapambana na tutarekebishana humohumo ndani hata kama ikibidi kwa kutumia ngumi na mijeledi..
Lazima chama kirudi kwa wanachama. The time is now...!!
9
Hairatokea kamati kuu ikae kujadili jambo kwa kufuata maoni ya mtandaoni tena ya watu wenye poor reasoning.
Mjinga wewe. Na hata hizi fikra ni za kijinga pia...
Mitandao ni njia ya mawasiliano...
Kinachosemwa mitandaoni ndicho hicho kilicho kwenye field...
Kutokufanyia kazi mawazo hayo ni ujinga wa upumbavu wa viongozi tu...!!