Hebu soma majibu yangu kwako hapo juu bandiko #54..
Kama hujui hata nina maana gani kusema "mpango kazi", basi wewe ni mjinga unayestahili kuelimishwa...!
Na kwa maelezo ya Hezekiah Wenje, unadhani Tundu Lissu anashindwa kupata TZS 30,000,000 kama kweli hoja hiyo Ina uhalali wowote wa kimaadili na kisheria..?
Sikiliza ndugu
RMC, usiwe mjinga kiasi cha kufikiri kuwa chochote kinachoamuliwa na hiyo inayoitwa "Kamati kuu ya CHADEMA" ni sahihi kimaadili na kisheria..
Let's all agree kuwa, there's something wrong ndani ya CHADEMA hii...!
Inawezekanaje viongozi wa CHADEMA sasa wamefikia kiwango cha kuwabeza na kuwadharau wanachama, mashabiki na wapenzi wao kiasi hiki..?
Miaka yote wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki mlipoomba kuchangiwa, tuliitikia bila tashwishwi. Leo kitu gani kimebadilika? Kwa idadi ya wanachama, mashabiki na wapenzi tushindwe kupata pesa halali 750,000,000 kugharamia shughuli badala yake mnapewa pesa na matajiri tena walio nje ya CHADEMA halafu mnadai "wajumbe wa kamati kuu" wamekubaliana kuchangia? Really? Mnamdanganya nani asiye na akili huyo..?
Hebu tujiulize:
Vikao vya chini huko majimboni, mikoani, wilayani na katani hadi ngazi ya msingi huko, nyie hao mnaojiita "wajumbe wa kamati kuu" huwa mnatoa pesa zenu kugharamia shughuli za chama huko..?
Nyie pumbavu kabisa. Mnataka kukinunua na pengine kukiuza chama kwa wenye pesa Ili muamua kwa matakwa yao...?
This is not acceptable...!