Hivi hujaanza kuokota makopo kweli wewe?Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
๐๐๐๐๐๐คฃ
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ
Ngoja niwaambie vijana wamfunge kamba wamwaishe Milembe hospital ๐ผHivi hujaanza kuokota makopo kweli wewe?
just a tease ๐ ๐ ๐ ๐ ๐USIMDAMGANYE, NADHAN MNGEMSHAURI MAMA KUA UFALME WAKE UMEPIMWA, HIVO ASHAURIWE KUONGOZA KWA KUFUATA MISINGI YA HAKI SHERIA NA KATIBA.
Mama hakuwahi kukutafuta Urais, na katika safari zake za Maisha hakuwah kutumia hata sumuni kupata madarakan, Leo ni Rais, je haitoshi kwake kujua tu ni MUNGU NDIO AMEMPA URAIS?.
NA KAMA NI MUNGU, BASI MUHIMIZENI KUFANYA SAWA NA MAELEKEZO YA MAANDIKO MATAKATIFU.
provoke thoughts, a teaseNgoja niwaambie vijana wamfunge kamba wamwaishe Milembe hospital ๐ผ
ngabu nilimblock maana ni takatakaNgoja niwaambie vijana wamfunge kamba wamwaishe Milembe hospital ๐ผ
Lissu kawavuruga kweli kweli....na bado mpaka mkome...Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
๐๐๐๐๐๐คฃ
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ
USIMDAMGANYE, NADHAN MNGEMSHAURI MAMA KUA UFALME WAKE UMEPIMWA, HIVO ASHAURIWE KUONGOZA KWA KUFUATA MISINGI YA HAKI SHERIA NA KATIBA.
Mama hakuwahi kukutafuta Urais, na katika safari zake za Maisha hakuwah kutumia hata sumuni kupata madarakan, Leo ni Rais, je haitoshi kwake kujua tu ni MUNGU NDIO AMEMPA URAIS?.
NA KAMA NI MUNGU, BASI MUHIMIZENI KUFANYA SAWA NA MAELEKEZO YA MAANDIKO MATAKATIFU.
Huyu atakua ni dj mwenyewe.Hivi hujaanza kuokota makopo kweli wewe?
kuropoka hakuwezi kumvuruga mtu......tutampa vipande vyakeLissu kawavuruga kweli kweli....na bado mpaka mkome...
Au ni mtoto wake jamaa anahangaika sanaHuyu atakua ni dj mwenyewe.
Mnazidi kuumbuka......saccoss imefika mwisho.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
๐๐๐๐๐๐คฃ
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ
Jamaa, hawaamini kinachoendelea.Lisu akishinda uenyekiti michango yote ya join the chain ambayo mliitafuna na boss wenu itawatokea katika tundu la uwani.
Mtoto wa Mbowe usipokuwa makini utachanganyikiwakuropoka hakuwezi kumvuruga mtu......tutampa vipande vyake
all in all mikutano ikifungiwa ataifungua kwa nguvu? jibu hili swali
kuropoka hakuwezi kumvuruga mtu......tutampa vipande vyake
all in all mikutano ikifungiwa ataifungua kwa nguvu? jibu hili swali
Yes, haiwezekani ahangaike kiasi hichoAu ni mtoto wake jamaa anahangaika sana