Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Apige basi marufuku.
 
Huenda kuna watu wanaishi chaotic era kwenye zama hizi. Ni sawa na kuishi ki primitive kwenye zama za sasa. Haya ni maajabu!
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Umeamua kujizalilisha kwa kiasi hiki, shida yako ni nini?
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

That’s really crazy.

Hata kama Lissu akishindwa kulazimisha mikutano bado hoja yake ya “haki za kikatiba” itasimama. Nothing changes.

Mkuu hapa tunajadili mambo facts na mantiki tu.
 
Mwehu Lissu angekuwa haogopi asingelikimbia na kukimbiza familia yake kipindi Cha Mwamba. Angelibaki akapambana nae. Leo Mama kaweka 4Rs na kuwaachia watu wajinome ndio anarudi eti anapambana? KUMBAVU!!
 
That’s really crazy.

Hata kama Lissu akishindwa kulazimisha mikutano bado hoja yake ya “haki za kikatiba” itasimama. Nothing changes.

Mkuu hapa tunajadili mambo facts na mantiki tu.
Sasa umashuhuri mnaompa na kumpamba base yake ni nini? Kama hawezi kum confront Samia, ubabe wake uko wapi? Ujinga tu.... you can achieve all that by diplomacy...siyo makeke ya uongo to gain cheap popularity
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Yaleyaleee Mtikila (RIP) aliyaita akili za apedomia, yani kila kitu mkishindwa hoja mnataka maguvu tu yatumike, huu ni unyani unaitwa
 
Unapigaje marufuku suala ambalo lipo kikatiba, mnaanzaje kuridhiana kwenye issues ambazo mamlaka imevunja katiba.

Haya mambo ndio yanafanya viongozi Africa wajione miungu.
 
Tumekubaliana hakuna aliye juu ya katiba, na katiba ndio muongozo wetu.

Sasa tunaanzaje kuwapigia magoti wavunja katiba baadala ya kupambana tuwawajibishe.
Kuvunja katiba ni sawa na wavunja Sheria wengine tu huku mitaani ambao tunawaburuza kwenye vyombo vya Sheria kila uchwao.

Katiba ubadirishwe kama vipi na kipengele cha kuandamana na mikutani ya kisiasa kitolewe.
Ili sasa iwe kinyume na Sheria kufanya mikusanyiko au maandamano ya kisiasa.
Au itamke katiba siasa marufuku mpaka hapo itakapoamuliwa tena.
 
Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
Albert Einstein ni left handed. Hii ni special case.

Yesu Kristo huwa anawaona right handed kama ngumbaru wanaosababisha makosa mengi. Nami pia naona right handed wengi wasomi na ambao hawajasoma huwa wanafanya makosa mengi.

Mathayo 5:30
Na kama mkono wako wa kulia unakukosesha, ukate ukautupe mbali. Afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote uende katika moto wa Jehanamu.
 
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA

Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.

Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta

mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi

kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Wewe jamaa kumbe ni kiazi kiasi hiki. Mahaba yako kwa Mbowe yamekupofusha sana,ila ujiandae kwa bonge la disappointment .
 
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA

Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.

Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta

mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi

kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Wala mikutano ya hadhara haikuruhusiwa kwasababu ya CDM ila kwasababu ya shinikizo la wakubwa huko Duniani ,Kwahiyo Kama ni swala la CDM kushinikiza mpaka leo ingekuwa haijafunguliwa, hivi vitu vingi vinavyo fanywa nchini ni viini macho tu ili nchi ipate misaada ila ingekuwa na maamuuzi yao hata vyama vya siasa vyote vingefutwa.
 
Sasa umashuhuri mnaompa na kumpamba base yake ni nini? Kama hawezi kum confront Samia, ubabe wake uko wapi? Ujinga tu.... you can achieve all that by diplomacy...siyo makeke ya uongo to gain cheap popularity
Mkuu nakuelewa sana mashaka yako. Ni hali ya kukata tamaa baada ya serikali ya CCM kuamua kuwa katili na ovu kwa wananchi wanaoikosoa.

Lakini hilo haliondoi ukweli anaosema Lissu kwamba SI SAWA kwa haki za kikatiba kujadiliwa kama sehemu ya maridhiano. Ikikubalika hivyo itakuwa ndio mwanzo wa kupoteza haki zote za binadamu nchini. Mtu muovu kamwe harudi nyuma. Ni sawa na hadithi ya mwarabu na ngamia.

Diplomacy imeshindwa kufanya kazi. Ushahidi uko wazi kabisa. Kufikia hatua ya wapinzani kutekwa, kuteswa na kuuawa waziwazi kabisa huku makada wa CCM wakijitokeza hadharani kujisifu kwa kazi chafu na mbinu za “porini” na polisi kuonyesha wazi wako upande gani, unaona kabisa kuwa ustaarabu umeshatupiliwa mbali.

Lissu huenda asiweze kukabiliana kikamilifu na dhahma hiyo lakini ameonyesha UJASIRI wa kutaka kuleta mageuzi na mbinu thabiti zaidi za mapambano. Hiyo ni baada ya mkwamo tuliomo tangu awamu ya nne tulipoanza kudai katiba mpya.

Apewe nafasi aonyeshe uwezo wake wa kuwahamasisha wananchi kudai chao. Binafsi natumaini yuko serious kweli kweli kwenye kazi hii. Ukweli tutaujua mbeleni. Kumpuuza Lissu na kung’ang’ania status quo iliyofeli na kupoteza matumaini haina tija.

Chama cha upinzani kwenye mazingira ya Tanzania ni very risky business. Hakuna njia rahisi wala hakuna short-cut. Mbinu zote lazima zitumike. Ni kama ANC enzi za makaburu. Ilifikia hadi kina mandela kulipia gharama kubwa ya kukaa jela miaka 27 na kubomoa familia zao ndipo SA ipate uhuru. The long walk to freedom.
 
Kumbe humu kumeanza kua wehu 🤔🤔 inabidi kue na mtihani wa utimamu wa akili ili kuundoa hawa machining humu
 
Back
Top Bottom