Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya ndiyo majibu y mtu mwenye akili sio wale akina johnthebaptistWatanganyika wengi zaidi wakitambua HAKI zao, wakashikamana kama Wamaasai wa NGORONGORO, Mama atakuwa mpole, na atawasikiliza akiwa na adabu.
Mkuu jitahidi upate ushauri wa kisaikolojia, inaonekana kitendo cha Lisu kuamua kugombea uenyekiti kimekuumiza sana. Alaaniwe amtagemaye mwanadamu.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mbona umekuwa kituko ghafla kiasi hiki?Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Wanaona Lisdu ni adui kwa kukata mirija ya ulaji wa MboweUmepanic sana kamanda, kunywa maji mengi ulale. Lissu ni habari nyingine kabisa, mnakosea sana kumlinganisha na Mbowe kwa tamaa zenu za asali kidogo mnayolambishwa.
Mapenzi yako kwa Mbowe yanakufanya u lose control ya akili zako na kujikuta unaharisha kwa ubongo. Wewe ni Joyce nini mbona umeathirika sana? Samia ana hamu sana ya kufanya unalomshauri lakini hana uwezo. Magufuli mwenyewe alikuwa anaipeleka nchi kuwa Zimbabwe na angekuwepo mpaka sasa hivi mambo yangekuwa out of control ndiyo maana wana mfumo walimuondoa.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
IT WILL NEVER HAPPEN IN MY LIFE...... Tindo na wewe uko kama hujaenda shule kweli? Ukienda X, loh...kila mtu ni Lisu na Mbowe...vurugu tupu....... ngoja na hapa niwavurugeMkuu jitahidi upate ushauri wa kisaikolojia, inaonekana kitendo cha Lisu kuamua kugombea uenyekiti kimekuumiza sana. Alaaniwe amtagemaye mwanadamu.
Mh! matusi sasa ya nini? ngoja nijizuie kukujibukujikuta unaharisha kwa ubongo
Mapenzi yako kwa Mbowe yanakufanya u lose control ya akili zako na kujikuta unaharisha kwa ubongo. Wewe ni Joyce nini mbona umeathirika sana? Samia ana hamu sana ya kufanya unalomshauri lakini hana uwezo. Magufuli mwenyewe alikuwa anaipeleka nchi kuwa Zimbabwe na angekuwepo mpaka sasa hivi mambo yangekuwa out of control ndiyo maana wana mfumo walimuondoa.
Na bado mpaka waokote makopo.Lissu kawavuruga kweli kweli....na bado mpaka mkome...
Mnazidi kujianika mlivyo matapeli ya kisiasa, Lissu ametusaidia kuwatambua. Ghafla Sa100 ni kipenzi chenu daah!!Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mkuu, usitake kuwa aminisha watu kwamba , watu ambao ni retired kama wewe, basi na bongo zao hazifanyi kazi. Jiheshimu.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Kiukweli huyu ndugu kavurugwa sana.Punde utawehuka wehu wa Lissu!
Kumbe Yeriko na mavitabu yake ya kutafsiri kidato cha 4 alitaga egg 😂😂😂😂😂😂haya ndiyo majibu y mtu mwenye akili sio wale akina johnthebaptist
Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!Kumbe Yeriko na mavitabu yake ya kutafsiri kidato cha 4 alitaga egg 😂😂😂😂😂😂
Mkuu unashangaza sana, ikiwa wanaokudhulumu haki zako za kikatiba, unawaona wanahaki ya kufanya hivo ili uidai, then wakikupa haki yako uone ni ushindi ni jambo la kushangaza sana.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe
Jibu hoja, that does not make sense at all kutukana. Can Lisu attempt to violate that amri?Mkuu, usitake kuwa aminisha watu kwamba , watu ambao ni retired kama wewe, basi na bongo zao hazifanyi kazi. Jiheshimu.
nimesema ni udikiteita, sasa mwamba anaweza kuikuikaMkuu unashangaza sana, ikiwa wanaokudhulumu haki zako za kikatiba, unawaona wanahaki ya kufanya hivo ili uidai, then wakikupa haki yako uone ni ushindi ni jambo la kushangaza sana.