Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mkuu jitahidi upate ushauri wa kisaikolojia, inaonekana kitendo cha Lisu kuamua kugombea uenyekiti kimekuumiza sana. Alaaniwe amtagemaye mwanadamu.
 
Mbona umekuwa kituko ghafla kiasi hiki?
Kwani uko kwenye payroll ya gaidi?
 
naona uzi unatembea haraka , kweli hamtaki Lisu aguswe
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mapenzi yako kwa Mbowe yanakufanya u lose control ya akili zako na kujikuta unaharisha kwa ubongo. Wewe ni Joyce nini mbona umeathirika sana? Samia ana hamu sana ya kufanya unalomshauri lakini hana uwezo. Magufuli mwenyewe alikuwa anaipeleka nchi kuwa Zimbabwe na angekuwepo mpaka sasa hivi mambo yangekuwa out of control ndiyo maana wana mfumo walimuondoa.
 
Mkuu jitahidi upate ushauri wa kisaikolojia, inaonekana kitendo cha Lisu kuamua kugombea uenyekiti kimekuumiza sana. Alaaniwe amtagemaye mwanadamu.
IT WILL NEVER HAPPEN IN MY LIFE...... Tindo na wewe uko kama hujaenda shule kweli? Ukienda X, loh...kila mtu ni Lisu na Mbowe...vurugu tupu....... ngoja na hapa niwavuruge
 
Mapenzi yako kwa Mbowe yanakufanya u lose control ya akili zako na kujikuta unaharisha kwa ubongo. Wewe ni Joyce nini mbona umeathirika sana? Samia ana hamu sana ya kufanya unalomshauri lakini hana uwezo. Magufuli mwenyewe alikuwa anaipeleka nchi kuwa Zimbabwe na angekuwepo mpaka sasa hivi mambo yangekuwa out of control ndiyo maana wana mfumo walimuondoa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=rTWpnMO7kto
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mnazidi kujianika mlivyo matapeli ya kisiasa, Lissu ametusaidia kuwatambua. Ghafla Sa100 ni kipenzi chenu daah!!
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳
Mkuu, usitake kuwa aminisha watu kwamba , watu ambao ni retired kama wewe, basi na bongo zao hazifanyi kazi. Jiheshimu.
 
Kumbe Yeriko na mavitabu yake ya kutafsiri kidato cha 4 alitaga egg 😂😂😂😂😂😂
Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
 
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe
Mkuu unashangaza sana, ikiwa wanaokudhulumu haki zako za kikatiba, unawaona wanahaki ya kufanya hivo ili uidai, then wakikupa haki yako uone ni ushindi ni jambo la kushangaza sana.
 
Mkuu, usitake kuwa aminisha watu kwamba , watu ambao ni retired kama wewe, basi na bongo zao hazifanyi kazi. Jiheshimu.
Jibu hoja, that does not make sense at all kutukana. Can Lisu attempt to violate that amri?
 
Mkuu unashangaza sana, ikiwa wanaokudhulumu haki zako za kikatiba, unawaona wanahaki ya kufanya hivo ili uidai, then wakikupa haki yako uone ni ushindi ni jambo la kushangaza sana.
nimesema ni udikiteita, sasa mwamba anaweza kuikuika
 
Back
Top Bottom