Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
Apige basi marufuku.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Huenda kuna watu wanaishi chaotic era kwenye zama hizi. Ni sawa na kuishi ki primitive kwenye zama za sasa. Haya ni maajabu!Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Chadema ita trend hadi mwaka kesho mtakuja kujua hamjui.ACCA&CPA Mwaitenda next week ataelezea manunuzi ya Jengo la Makao Makuu ya Chadema mikocheni
Umeamua kujizalilisha kwa kiasi hiki, shida yako ni nini?Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Thatβs really crazy.Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Itatrend kwa Kisomo Cha Tanga πΌChadema ita trend hadi mwaka kesho mtakuja kujua hamjui.
wewe ni darasa la saba failure....kwaherikujizalilisha k
Sasa umashuhuri mnaompa na kumpamba base yake ni nini? Kama hawezi kum confront Samia, ubabe wake uko wapi? Ujinga tu.... you can achieve all that by diplomacy...siyo makeke ya uongo to gain cheap popularityThatβs really crazy.
Hata kama Lissu akishindwa kulazimisha mikutano bado hoja yake ya βhaki za kikatibaβ itasimama. Nothing changes.
Mkuu hapa tunajadili mambo facts na mantiki tu.
Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Albert Einstein ni left handed. Hii ni special case.Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
Wewe jamaa kumbe ni kiazi kiasi hiki. Mahaba yako kwa Mbowe yamekupofusha sana,ila ujiandae kwa bonge la disappointment .SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi
kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Wala mikutano ya hadhara haikuruhusiwa kwasababu ya CDM ila kwasababu ya shinikizo la wakubwa huko Duniani ,Kwahiyo Kama ni swala la CDM kushinikiza mpaka leo ingekuwa haijafunguliwa, hivi vitu vingi vinavyo fanywa nchini ni viini macho tu ili nchi ipate misaada ila ingekuwa na maamuuzi yao hata vyama vya siasa vyote vingefutwa.SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi
kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Mkuu nakuelewa sana mashaka yako. Ni hali ya kukata tamaa baada ya serikali ya CCM kuamua kuwa katili na ovu kwa wananchi wanaoikosoa.Sasa umashuhuri mnaompa na kumpamba base yake ni nini? Kama hawezi kum confront Samia, ubabe wake uko wapi? Ujinga tu.... you can achieve all that by diplomacy...siyo makeke ya uongo to gain cheap popularity
Msomi naiona hofu yako kuwa kula yako inamtegemea sana Mbowe kuendelea kuwa m/kiti.wewe ni darasa la saba failure....kwaheri