I hate first days

We ndio upo kama mimi mkuu, sijui tatizo lilianzia wapi ila mi toka mdogo ndivo nilivyo, kama sina kitu cha kufanya naenda zangu kulala hata kama ni mchana
Kuwa peke yako, sometimes, ama most of the times, siyo jambo geni wala crime. Tatizo linakuja pale UNAPOSHINDWA kujichanganya, kuunda marafiki kirahisi, ama kufurahia social environment au hata kuwakeep marafiki au kudumisha positive conversation na communication. Seriously, huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Halafu, ukweli mchungu, ni ugonjwa wa akili.
 
Acha kabisa
Nimepoteza marafiki almost wote
Kukiwa na get together siendi au nikienda nakua tu bored
Kukiwa na mitoko natafuta excuses
Siku hizi hata simu hawapigi
Ila kuu kuna kipindi mwaka juzi tulikutana 5N temboni I hope hunikumbuki maana ilikuwa saa5 usiku ulikuwa na Member mmoja wa humu namsahau jina
 
Ila kuu kuna kipindi mwaka juzi tulikutana 5N temboni I hope hunikumbuki maana ilikuwa saa5 usiku ulikuwa na Member mmoja wa humu namsahau jina

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante Dr ntajaribu kuacha ndio maana kama umenifuatilia kwa wiki moja na nusu nipo sana viwanja vya kujichanganya
 
Ila kuu kuna kipindi mwaka juzi tulikutana 5N temboni I hope hunikumbuki maana ilikuwa saa5 usiku ulikuwa na Member mmoja wa humu namsahau jina

Imagine yule member siyo rafiki yangu tena

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pmoja sana mkuu hii ngoma wakati inaanza kuna mama yake na B.I.G anamwambia "....I want you yo hold on to that dream son"
 
tUpo pamoja saaana mkuu
 
I do socialise but I like being alone I feel much better
 
Hamna ni kupotezeana tu yaani iko hivyo kwa marafiki nnaokutana nao tunaweza hang out mara kadhaa
Najikuta bored basi inaisha hivyo
I don’t pick up calls, I don’t text back
Haya bhana ndio maisha uliyojichagulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…