I hate first days

Hamna ni kupotezeana tu yaani iko hivyo kwa marafiki nnaokutana nao tunaweza hang out mara kadhaa
Najikuta bored basi inaisha hivyo
I don’t pick up calls, I don’t text back
Ushauri wangu: Use more of your brain than your feelings to make life decisions. Call imeingia, usipoipik hiyo ni foolhardy na ignorance. Why do you own a phone, even!??? Unless una hakika kwamba wote wanaokupigia na kutext ni full mediocre, hapo sawa.
 
Nakuwa naona sihitaji tu kuongea na mtu
 
Jitahidi kujichanganya na watu mbalimbali pale inapobidi kufanya hivyo.
Inapobidi muu huwa najichanganya ila siwi conformable, mtu akiniongelesha saana naona ananikera ila simwambii tu. ila nikipiga Kili zagu 4 tunastorika hadi asubuhi but not when I'm sober
 
nakuwa naona sihitaji tu kuongea na mtu
Mi hata kuwa na mpenzi anayenipigia au kunitext kila mara huwa namchoka mapema saana, nipigie au kunitext ukiwa na jambo la msingi la kunishirikisha.
 
Hakuna kasoro hapo unless kama ushawahi pata shida ya kisaikolojia au kiafya...
 
I wish I was this way
 
Watu wa aina yako huwa wana akili sana lakini huwa hawafanikiwi sana maishani kwa sabau ili ufanikiwe ni lazima uwe well-connected, uwe a good communicator na uwe socially adaptive. Watu wa aina yako huwa na "A" za darasani lakini huku maishani hawawezi kuwa ma-CEO, Wabunge, Mawaziri, Mameneja... Kwa hiyo utabaki kuwa wa hapo chini ama katikati tu. Nadhani umenielewa.
 
Ushindwee!!!
 

Nina shida hii pia... siwez kuzoea watu jaman... ht wikend sitoki..
 
I wish I was this way
Aisee hapana mfano mimi kwenye issues za biashara natakiwa niconect na nitengeneze mahusiano mazuri na watu wengi kwa faida zaidi ila sasa nashindwa yaani tunaweza tukaongea tu kiasi ila baada ya hapo nakaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…