Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Mi 1.5 mbunge alishaitoa kwenye msiba!
 
Inakuwaje katika msiba wa yule Katibu wa CHADEMA hatukuona waziri au kiongozi yeyoye wa serikali akiwemo mkuu wa Mkoa. Leo wote wako hapo wakionyesha majonzi ya kutisha. Je damu ya Aqulina ni nzito kuliko ya Daudi?

R.I.P Aquilina na Daudi
 
ilikuwa nilazima afanye hvyo ilikuinusuru nafsi yake ...maana mchonga meno alikuwa ni mtu aliyepandikizwa na Rc...so alikuwa analipa Fadhila zao...maana bila Rc kuwa kama watu waliwapa dhamana ya kupewa nchi na wakaoloni wasingepewa nchi bila yakumwagika kwa damu...
 
Hivi umesoma kweli !!? na unavyeti vya ufaulu kbisaaa .my foot ..serikali haina dini na haiendeshwi kwa sheria za kidini ..ina sheria zake na moja ya hzo sheria nikumuwajibisha muhalifu ..na hiyo ndio kanuni aliyoitumia padree .hayo mambo ya kuungama subiri mpaka huyo muuwaji atakapo kwenda kuungama kanisani but kuungama hakuwezi kuifnya sheria ishindwe kufuata mkondo wake ...so sheria inapaswa kutenda haki
 
Padri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
 
Mbowe alisha chanjiwa dawa aina ya samba inapatikana mwanhuzi yaani hata afanye mambo ya hovyo vipi wananchi wanampenda na watamsikiliza.

Nashauri kassim majaliwa atakapokuwa maswa aende mwanhuzi kwa hule mganga, chenge anamjua na prof muhongo ashafika pale, aende akatengenezewe ya kutengua nguvu za mbowe. Vinginevyo ataendelea kutusumbua mtaani.
 
Anhaaa... basi nchi yetu sio shithole bali baadhi ya viongozi wetu... hapo vipi?
 
Asingelilalamika Rais wala wasingelitoa thamani kwa binti huyo!! R I P Akwillina
Rais kitu gani ww,?! Nani asiejua anafurahia manyanyaso hata mauaji kwa wapinzani wake ? Sema imetokea kauwawa mwanafunz huyu anatoa pole kinafki ?!! Kama kweli ni mpenda haki kwann hakutoa statement kifo cha Daniel john wa ananasifu ?!
 
Padri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
Hebu weka siasa pembeni kwanza ujadili hiyo kauli ya padre in the state of free mind.
Mkuu ukinikosea mimi, niombe msamaha mimi kwanza kabla ya kwenda kwa padri, nikishakusamehe ndio huende kwa Mungu wako kupitia kwa padri ukamlilie Mungu wako kuwa umemkosea yeye na jirani yako, hakika hapo utasamehewa.
Lakini unanikosea alafu unaenda kwa padri kimya kimya kuungama huku mimi nikiwa na machungu yangu moyoni, hakika hapo hapana msamaha ila ni ubatili mtupu.
Muuaji haungame kwa wazazi wa akwilini na wantanzania wakishamsamehee ndio aende mbele za Mungu.
 
Kudos mkuu!
 
Rais kitu gani ww,?! Nani asiejua anafurahia manyanyaso hata mauaji kwa wapinzani wake ? Sema imetokea kauwawa mwanafunz huyu anatoa pole kinafki ?!! Kama kweli ni mpenda haki kwann hakutoa statement kifo cha Daniel john wa ananasifu ?!
Ungenielewa hata mimi najua ni unafki tu. Lakini kwa kuwa kajifanya kuona uchungu ndio maana Gilikipa wa zamani wa simba anajifanya kuongozana na msafara. Otherwise ni wauaji kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…