habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Kafanya nini tenaHuyu Makonda huyu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanya nini tenaHuyu Makonda huyu.....
shangaa wewe mkuuYaani hii nchi ni drama tupu...
Polisi waue halafu wapewe heshima za kuongoza mwili???
Hii iko Tz pekee
Mi 1.5 mbunge alishaitoa kwenye msiba!Leo hii kuna matukio makubwa mawili yanafanyika ambayo yametokana na athari za maandamano yaliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 16, 2018.
Tukio la kwanza ni la kuagwa kwa mwili wa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilin linalofanyika chuoni hapo; Tukio la Pili ni la Wafuasi wa Chadema waliokamatwa siku ya maandamano wakipandishwa Mahakamani.
Katika matukio yote mawili hatukumuona Mwenyekiti Mbowe aliyekuwa akiongoza maandamano haramu yasiyo na kibali ambayo yalisababisha madhara yote haya. Hajui pasipo kuitisha maandamano yasiyo na kibali pasingetokea madhara tunayoyaona leo?
Bado najiuliza, Mwenyekiti hajahudhulia msiba wa Akwilina kwa sababu hajaguswa nao? Ama sio wa muhimu kwake? Ama shida zetu sio zake? Inauma sana!
Kama haitoshi wale Wafuasi waliokamatwa wamekwenda Mahabusu kwa kukosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5 tu. Kweli wanakwenda Mahabusu kwa sababu wamekosa dhamana ya Tsh. Milioni 1.5?
Jambo la kushangaza, hakukuwepo hata kiongozi mmoja toka Chadema ambaye alikwenda Mahakamani kuwa nao bega kwa bega. Wanakwenda mahabusu kizembe kwa kuwasikiliza Wanasiasa ambao leo hii wamewatelekeza!!
Wamejikuta kwenye matatizo lakini wale waliosababisha wao wapate matatizo hawapo nao pamoja. Inauma sana!
Ninapofikia hapa nakumbuka ule msemo wa Rais Mstaafu Mzee Kikwete aliosema "Akili za kuambiwa, changanya na za kwako".
Hili ni funzo kwetu sote, tunapoambiwa na Wanasiasa tukafanye jambo ambalo tunajua tutakuwa matatani kisheria tuwe makini kuchanganya na akili zetu maana shida zitakazotupata zitakuwa ni zetu na si zao, mateso yatakuwa kwetu na si kwao.
Narudia tena kuwasihi, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
*Na Thadei, Mwanaharakati Mpambanaji*
Kafanya nini tena
AiseeeeeIna maana hujasoma hayo aliyoyatamka? Pia hufahamu kuwa yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ambao huyo mtoto kauwawa?
ilikuwa nilazima afanye hvyo ilikuinusuru nafsi yake ...maana mchonga meno alikuwa ni mtu aliyepandikizwa na Rc...so alikuwa analipa Fadhila zao...maana bila Rc kuwa kama watu waliwapa dhamana ya kupewa nchi na wakaoloni wasingepewa nchi bila yakumwagika kwa damu...Nyerere aliharibu sana kupandikiza Ukatoliki na kuudidimiza uislamu.
Tanzania ingelikua dola la kiislamu haya yote yasingetokea.
Nikikumbuka alivotupokonya uwanja wetu wa Chuo kikuu pale Chang'ombe.
Alivopachika wanafiki ndani ya Bakwata.
Alivopiga marufuku Tanzania kujiunga na umoja wa nchi za kiislamu.
Alivowapiga chini mamia ya wazee waislamu waliompa sapoti toka TAA mpaka tunapata Uhuru.
Hivi umesoma kweli !!? na unavyeti vya ufaulu kbisaaa .my foot ..serikali haina dini na haiendeshwi kwa sheria za kidini ..ina sheria zake na moja ya hzo sheria nikumuwajibisha muhalifu ..na hiyo ndio kanuni aliyoitumia padree .hayo mambo ya kuungama subiri mpaka huyo muuwaji atakapo kwenda kuungama kanisani but kuungama hakuwezi kuifnya sheria ishindwe kufuata mkondo wake ...so sheria inapaswa kutenda hakiPadri aliyehubiri msibani kusema mhalifu aliyepiga risasi awekwe wazi hapo padri kakosea ina maana huyo muuaji akienda kuungama kwake kuwa ameua akwilini atamwanika wazi huyo muuaji.Hilo haliendani na upadri wake.Hakustahili kuongea hivyo alitakiwi aombe huyo mtu atubu sio kusema aanikwe wazi .Hapo padri kawa influenced na mihemko ya kisiasa badala ya imani yake ya upadri.Anafukuza waumini wasipende kwenda kuungama dhambi kwa mapadri sababu waweza anikwa wazi any time
Padri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadreHivi umesoma kweli !!? na unavyeti vya ufaulu kbisaaa .my foot ..serikali haina dini na haiendeshwi kwa sheria za kidini ..ina sheria zake na moja ya hzo sheria nikumuwajibisha muhalifu ..na hiyo ndio kanuni aliyoitumia padree .hayo mambo ya kuungama subiri mpaka huyo muuwaji atakapo kwenda kuungama kanisani but kuungama hakuwezi kuifnya sheria ishindwe kufuata mkondo wake ...so sheria inapaswa kutenda haki
Anhaaa... basi nchi yetu sio shithole bali baadhi ya viongozi wetu... hapo vipi?hili neno lina tafsiri zaidi ya mbili kwa kiswahili lakini yote yanahusiana na uchafu sasa Hatuwezi kuiita nchi yetu mku.ndu.
hatujafikia kudharau nchi yetu kiasi hicho kwa udhaifu wa viongozi wetu ambao wengi wetu tumewachagua kwa mkumbo bila kuhudhuria mikutano na kupima watatupeleka wapi na hata pale mmoja alipowaonya kuwa mtalimia meno bado mkakubali halafu leo wote tukubali tuiite nchi yetu mku.ndu pamoja wananchi wake wote hii hapana Babu!
Rais kitu gani ww,?! Nani asiejua anafurahia manyanyaso hata mauaji kwa wapinzani wake ? Sema imetokea kauwawa mwanafunz huyu anatoa pole kinafki ?!! Kama kweli ni mpenda haki kwann hakutoa statement kifo cha Daniel john wa ananasifu ?!Asingelilalamika Rais wala wasingelitoa thamani kwa binti huyo!! R I P Akwillina
Hebu weka siasa pembeni kwanza ujadili hiyo kauli ya padre in the state of free mind.Padri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
Kudos mkuu!Hebu weka siasa pembeni kwanza ujadili hiyo kauli ya padre in the state of free mind.
Mkuu ukinikosea mimi, niombe msamaha mimi kwanza kabla ya kwenda kwa padri, nikishakusamehe ndio huende kwa Mungu wako kupitia kwa padri ukamlilie Mungu wako kuwa umemkosea yeye na jirani yako, hakika hapo utasamehewa.
Lakini unanikosea alafu unaenda kwa padri kimya kimya kuungama huku mimi nikiwa na machungu yangu moyoni, hakika hapo hapana msamaha ila ni ubatili mtupu.
Muuaji haungame kwa wazazi wa akwilini na wantanzania wakishamsamehee ndio aende mbele za Mungu.
AminaApumzike kwa amani,Akwilini Akwiline.
Amen.
Ungenielewa hata mimi najua ni unafki tu. Lakini kwa kuwa kajifanya kuona uchungu ndio maana Gilikipa wa zamani wa simba anajifanya kuongozana na msafara. Otherwise ni wauaji kama kawaidaRais kitu gani ww,?! Nani asiejua anafurahia manyanyaso hata mauaji kwa wapinzani wake ? Sema imetokea kauwawa mwanafunz huyu anatoa pole kinafki ?!! Kama kweli ni mpenda haki kwann hakutoa statement kifo cha Daniel john wa ananasifu ?!