SijuiFalsafa ninini
Ha ha ha, kumbe waoga eeenh?
Kwanini unabishia kitu usichokijuaSijui
Tuna sanamu linaitwa wazir wa mambo ya ndaniHivyo nchi hii ina waziri wa mambo ya ndani?
ukiiweka pembeni kofia yake ya upadree aliyonayo ...ana simama kama mwananchi wakawaida mwananchi ambaye katiba tukufu ya nchi inamtambua kuwa ana haki yaupigaji kura na kumchagua kiongozi amtakaye na katiba hiyo hiyo inatambuwa kuwa ..ana haki yakutoa maoni kama vile ambavyo ungepaswa kutoa wewe maoni ama mwananchi yoyote yule wa taifa hiliPadri sio kiongozi wa serikali ni wa kidini alitakiwa ajikite hapo tu akijua kuwa huyo mpiga risasi aweza kuwa mkatoliki ambaye aweza kuja kwake kuungama dhambi ya kuua.Mihemko ya kisiasa imemtoa kwenye reli ya upadre akaongea yasiyohusiana na upadre
Kukuita mshenzi najisikia vibayaaaa ILA sinabudiii unahisi UMEAMUA KUMWITA MTOTO WA WATU UA HUNA ADABU KABISA WALA MAANA .EMBU HESHIMU HIKI KIFO PLS KAMA BINADAMU...NAFIKIRI ZILE ADHABU ZA MUNGU KWA WALIOMUUA ZISIKUACHE HATA KIDOGO UZIONJE KWA MANENO YAKOKifo kwa mwanadamu ni lazima..namna ya kufa ni siri anayoijua Mungu..Kuna mtu kapigwa risasi zaidi ya 30 za kulengwa na anaishi..akwilin kapigwa risasi moja isiyo ya kumlenga amekufa..tafakuri ya ajabu..punguzeni siasa Mungu kachuma ua lake kwenye bustani kwa wakati muafaka
Padri analetaje falsafa kwa watu wasiojua falsafa? Principle za communication zinataka kuwa meseji iwe clear kwa hadhira unayoongea nayo unaleta falsafa kwa mtu kama mimi asiyejua falsafa ni kitu gani?Ni sawa na kalika daktari bingwa mkutano wa wabafalsafa halafu aongee terminologies za kidaktari bingwa wanafalsafa wattoka sifuriKwanini unabishia kitu usichokijua