Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

Mataifa ya Asia walipata wakina Traore wao mpaka wamefika hapo walipo. China imefika hapo kwaajili ya madikteta kama Mao Ze Dong na Xi jingpin na pia India bila Mahtma Gandhi isingefika hapo.
 
Aliyepo sasa TZ[Samia] na JPM wapi inchi na watanzania wananufaika!
 
Mataifa ya Asia walipata wakina Traore wao mpaka wamefika hapo walipo. China imefika hapo kwaajili ya madikteta kama Mao Ze Dong na Xi jingpin na pia India bila Mahtma Gandhi isingefika hapo.

siyo kweli, hawa elite wa afrika wanawadanganya hivyo ili waendelee kuwatawala na kuwaibia.

labda nikuulize kwa mfano tuongelee nchi yetu, hivi mkoloni mfano mjerumani aliyeanzisha hii nchi kwa kuweka mipaka tuitumiayo leo hii, je alichowekeza hapa alipata faida au hasara? kama mnasema wakoloni “waliiba” rasilimali zetu, ni kipi mjerumani aliikiiba kulinganisha na alivyowekeza ?
 
Cc Yoda

Nyau de adriz
 
Wajerumani waliiba man power yetu, walitumia ardhi yetu kwaajili ya viwanda vyao, waliwadhalilisha mama zetu bila kusahau na mijeledi. Na kwa taarifa yako wajerumani walitutoza kodi ikiwemo matiti tax(search mtandaoni). Matiti tax ilitozwa kwa wanaume wenye wake na mwanaume asipolipa wanakata matiti ya mke wake.

Mzee bora ungesema waingereza ila wajerumani walikuwa ni viumbe vingine kabisa.
 
manpower gani unayoingelea walioiba ? na leo hiyo manpower nanni anaiiba? wajerumani ?
 
mapower gani unayoingelea walioiba ?
Wazee wetu walilipwa low wages na wengine walisafirishwa na kutenganishwa na familia zao. Yaani kati ya wazungu wa Ulaya wenye roho mbaya wanaanza hao wajerumani halafu wanafuata waItaly. Fuatilia historia zao na mauaji waliyoyafanya.
 
walilipwa low wages? na leo hii 100
years wanalipwa higher wages? besides angalau walilipwa ujira kwa kazi walizofanya kabla ya Christians kuja babu zenu ( wangu namtoa) walibeba pembe za ndovu ktk kigoma mpaka bagamoyo na pwani kwa mguu, mbona hamuwachukii waarabu na kusema waliiba manpower yenu ? hiyo reli ya kati yote ilikuwa ni njia ya babu zenu wakitembea na pembe za ndovu mgongoni mpaka pwani …
 
Watu waandamane au wasiandamane ila jamaa yupo vizuri sana kwa sera zake kuhusu Afrika nadhani ungejikita kwenye sera zake badala ya kuzungumzia sijui Ufaransa waliandamana au hawakuandamana hiyo haina maana yeyote...
 
walilipwa low wages? na leo hii 100
years wanalipwa higher wages?
Zamani walilipwa low wages na bado waliexperience over working na pia kuna baadhi walitolewa makende yaani walihasiwa ili wawe na nguvu za kufanya kazi. Huyo Carl Peters aliwafanya watu weusi kama ng'ombe vile.
 
Wazee wetu walilipwa low wages na wengine walisafirishwa na kutenganishwa na familia zao. Yaani kati ya wazungu wa Ulaya wenye roho mbaya wanaanza hao wajerumani halafu wanafuata waItaly. Fuatilia historia zao na mauaji waliyoyafanya.
Hana uwezo huo
 
Zamani walilipwa low wages na bado waliexperience over working na pia kuna baadhi walitolewa makende yaani walihasiwa ili wawe na nguvu za kufanya kazi. Huyo Carl Peters aliwafanya watu weusi kama ng'ombe vile.

lkn bado kuna vitu unaviona na unavitumia hadi leo hii ni matokeao ya kazi walizofanya au? sasa leo hii umefanya nini mbona hilo swali unalikwepa? wajerumani waliondoka miaka 100 iliyopita hali ikoje ? ujira mnaoliowa kwa vibarua ukoje?
 
Usichanganye mambo. Wanao create contents si huyo unaemuita dikteta. Na fake content create wapo wa kila aina.
Huyu dikteta ni bora mara elfu kuliko hao walio chaguliwa na kuishia kunyonya nchi zao na kutumikia matakwa ya wafaransa.
Mpe Fursa uone matokeo kabla hujamhukumu kwa content walio create wengine.
Kwa ufupi duniani hakuna kitu kinaitwa demokrasi na manipulation na masilahi tu.
 
Watu waandamane au wasiandamane ila jamaa yupo vizuri sana kwa sera zake kuhusu Afrika nadhani ungejikita kwenye sera zake badala ya kuzungumzia sijui Ufaransa waliandamana au hawakuandamana hiyo haina maana yeyote...
Sema sera zake mbili zilizo nzuri kwa Africa
 
lkn bado kuna vitu unaviona na unavitumia hadi leo hii ni matokeao ya kazi walizofanya au? sasa leo hii umefanya nini mbona hilo swali unalikwepa? wajerumani waliondoka miaka 100 iliyopita hali ikoje ? ujira mnaoliowa kwa vibarua ukoje?
Ujira wa sasahivi ni mkubwa kuliko wa enzi za ukoloni na kumbuka ya kuwa wakoloni walikusanya na kodi.

Afrika hali bado ni tete kwasababu hatujampata Ze Dong wetu. Wakina Thomas Sankara walijaribu ila wazungu walimpoteza na huyu Traore naona anafuata nyayo hizohizo.
 
Hakualikwa kuhudhuria uapisho wa Trump hivyo hakukataa mwaliko.

Huwezi kukataa mwaliko wa hafla ambayo hujaalikwa.

Pia, hakuna nyomi la watu lililoandamana Paris kumuunga mkono.
Trump katika inauguration yake ya Urais term ya kwanza walidanganya kuhusu watu waliohudhuria kwamba haijawahi kutokea watu kuja juu eti wakasema alternative facts (tena hapa sio wazee wa udaku bali whitehouse press yenyewe) sasa hapo nashangaa unavyotaka kushangaa fake News kipindi hiki cha AI !!!!

ujira wa sasa hivi mkubwa? upi huo unaoungelea? wabunge na wakuu wa mikoa au? hapa tunajadili vibarua waliojenga reli, barabara, madaraja, walifanya kazi kwenye estates za mikonge, kahawa, chai walioijenga nchi iliyopita kama tulivyoirithi leo leo hii hao vibarua ujira wao ukoje? na wanafanya kazi gani 100 years later?
 
Una uhakika hiyo video imepostiwa na Mwaafrika? Au slavery mentality inakusumbua? As long as wananchi wa nchi yake wanamkubali wewe ni kikaragosi huna impact yoyote kwa nchi yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…