cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeshikwa pabaya leo yatakutoka yoooooote. Mimi ndo bill lugano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeshikwa pabaya leo yatakutoka yoooooote. Mimi ndo bill lugano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli ndugu usikariri maisha inaezekana wenye ela hujawahi shinda nao labda. Hyo ni tabia ya mtu tu na alivo nature yake. Wapo wenye ela kibao na wanajisifu chukulia mfano Jay-Z ana 1b $ na huwa anajisifu sana. Waarabu wanajisifu sana 2.sifa kuu ya watu wenye pesa sio watu wa kujisifia sio mtandaoni au kokote kule.
Hakuna mtu mwenye vipesa akawa anajim2ambafai katu katu.
Mtu ukiona anajimwambafai ujue hama kitu,ni hohe hahe
.
Ukiona mtu anaweza kumiliki pesa basi jua aliweza kumiliki mdomo wake pia.
Eti kuna ukweli wowote kuwa Chizi Maarifa ndiyo huyo huyo Gentamycine? Hivi ni kwanini mnapenda kuwa na ID's nyingi wakati Sisi wengine hizi ID's zetu moja moja tu kama hii yangu ya All - Rounder inanishinda? Halafu ID's zako zote mbili hizo ( Chizi Maarifa na Gentamycine ) zimebamba kweli kweli hapa JF hadi kila mara zinatajwa tu zenyewe. Sijui na Mimi All - Rounder nifanyeje ili na hii yangu ibambe kama zako hizo.😂😂😂😂 Umeshikwa pabaya leo yatakutoka yoooooote. Mimi ndo bill lugano. 😂😂😂😂😂
Unashangaa. Hujui Kiduku Lilo ni msanii kama wasanii wengineo?Mbona Bill Lugano ni ID kongwe kuliko hata Idukulilo?
Aisee pole sana. Mazoezi unafanya?Sijapona bado...
Hapana kwakeli..sina ngv kbs nalala tu...mie natetemeka zaidiAisee pole sana. Mazoezi unafanya?
Kiduku lilo a.k.a Bill Lugano Huwa na copy link za post zako, namtumia wife kwenye WhatsApp, Basi anacheka kichizi.
Leo akijua kuwa wewe ni Mnyakyusa ndio atazimia kabisaaaaaa
Kwasababu kwetu Kuna mabilionea Kama Bill LuganoNilihisi tu hii ngoma kama sio mnyakyusa ni muhaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanyakyusa jamani mna matatizo khaa
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila we jamaa unajua kutia watu hasira ya maisha...Hizo habari nilipata nikiwa UK nilipigiwa simu na Wanasheria wangu kuwa kuna mtu anatumia ID yangu na anaonekana hana akili. Sasa toka kipindi kile wakawa wanasheria na washauri wangu wanasema tumshtaki nikasema hapana.
Watanzania wengi ni maskini mlo tu wanapata mara tatu kwa siku na kutumia usafiri mgumu wa Toyota za miaka kumi iliyopita.
Hatokuwa na kitu wamwache tu. Ndio nikashauriwa na jopo la washauri nitumie jina hili. Na jana rasmi baada ya kuruhusiwa na Mahakama na BRELA nikaona niwasiliane na Max. Ingawa naye alisikitika sana kwa jambo hili. Ila ni mtu smart sana.
Kubbbak[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Unapatikana wapi ili kama una muda Unifundishe Hii Lugha. Maana kwasasa nafahamu lugha 7 tu za Kimataifa.
Kama hutojali na una mtaala wa kufundishia hii lugha tukubaliane niwe nakulipa USD 500 kwa masaa mawili tafuta Hotel ambayo itakuwa na room ndogo tu ambayo inaweza tumika kama darasa. Nitalipa. Pia nawe unaweza kaa hapo uchukue chumba. Nitalipa. Ili uwe unatulia tu na kutafakari cha kunifundisha.
Kabisa asee $ kwa mbaliSasa sikumoja moja fanya kutugawia miamala bana umaskin unatuuaa
ha ha haNawashukuru ndugu zangu Watanzania wenye Mtizamo Chanya na wapenda maendeleo. Kwa nini mimi nikisema nina pesa watu wanachukia? Wanataka niseme Sina ili ndo wafurahi? Why? Sijawahi pata muda wa kubishana na mtu kwa jambo ambalo mimi ndo nalifahamu. Kwa nini nibishane?
Nikisema mimi nina gari Range Rover 2, GMC,BMW,JEEP,MERCEDES BENZ na kuna jingine nataka ninunue mwaka huu. Wewe ukasema sina. Halafu mimi najua ninayo hayo magari inaniathiri nini? Nikisema ninayo halafu wewe ukasema sina na mimi kweli sina hilo pia linakuathiri nini wewe?
Mara ya mwisho nimebishana na mtu ilikuwa mwaka 2012 nlimwambia hakuna usafiri wa Toyota unafika thamani ya Mil 250 za Kitanzania akanambia upo. Nikamwambia nampa Mil 2 ya voucher akinionesha tu kwenye mtandao.akanionesha. basi nikampa Mil 2 na 200,000 sababu alitumia data kusearch hiyo info. Nikagundua mimi kutokujua kitu haimaanishi kuwa hakipo. Nliacha kubisha siku hiyo. Maisha ni Darasa Endelevu na kila siku tunajifunza.
So nilijifunza kila mtu ana haki ya kuamini anachoamini. Huwa sina sababu ya kuchukia. Niliwahi chukia tu siku moja Traffic aliponipiga faini sababu ya speed akaandika tsh 30,000 nikamuuliza ana uhakika ni tsh 30,000 na si 300,000 akasema ni tsh 30,000. Nikamwambia aache kuomba rushwa kijanja kwa kosa lile fain haiwezi kuwa chini ya 300,000 sitaki kumpa rushwa nataka nichangie mapato. Nikatoa 300,000 nikampa nikaondoka zangu nikimwacha aandike kosa ajuavyo yeye.
Haaaaaahaaaaaa hakuna mtu anaishi kwa tabu humu km huyu popoma anachukiwa vibaya mnoooooGentamycine pamoja na kubadilisha ID akili imebaki ile ile...[emoji23][emoji23][emoji23] Ya kipumbavuh na wivu. Huyu Bill ndo habari ya mjini. Kwa wanaume watafutaji na wenye malezi mema. Sisi tunafuata madini aliyo nayo.... Huwa hana ugomvi na mtu. Wewe ulishadharaulika mpaka ukaamua kubadili ID ila akili ikabaki ni ile ile kisoda kichwa ndoo. Watu wameendelea kukudharau. Mwenzio mwanaume kabadili ID na taarifa katoa. Wewe sasa ..... Umebadili kimya kimya ila watu wakisoma wanaona hizi akili za kichokoraa mbona ni za gentamycine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu genta ana chuki hapendi mtu mwengine awe maarufu humu zaidi yakeKijana jazba ya umasikini wako usiilete moja kwa moja kwenye maisha ya watu
Kama unaweza kua na mtazamo huu kwenye posts za kiduku lilo basi kamuone daktrari.Ukiachilia mbali Sifa za Kipumbavu ulizonazo, Utoto ( japo ni Mkubwa ) na Ushamba unaokusumbua ila hata katika Maelezo yako hasa Kiuandishi hapa unaonekana ama si Mwanaume Riziki au uko mbioni kutokuwa Mwanaume Rijali.