Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
-
- #61
Yani kuna story niliandika ya dada aliyeacha kazi ofisini kwetu kuja kunihudumia kipindi nina ujauzito, nilivyokuona mara ya kwanza nilifikiri, mmh huyu asije kuwa yule Mamu wangu jamani π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Ukute mimi na wewe tunafahamiana vizuri tu πila sasa ndo hivo
Itabidi tuongee vizuri πYani kuna story niliandika ya dada aliyeacha kazi ofisini kwetu kuja kunihudumia kipindi nina ujauzito, nilivyokuona mara ya kwanza nilifikiri, mmh huyu asije kuwa yule Mamu wangu jamani π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Donald Glover huyo.mshamba_hachekwi huyu mnafanana
Ha ha. Unasema tuna chati kwa uhuru kwa sababu za Id feki, wakati uhalisia ni kwamba tuna chati kwa uhuru wakati wote na pahala popote.Humu watu wanatumia ID fake ndo maana tunachat kwa uhuru zaidi
Kwa hiyo sisi tusio na avatar unatusomaje bwana dosho12 ? Kwanza kwenye vikao vya Majobless sikuoni siku hizimi nikiwa nasoma comment ya mtu ambaye ameweka avatar ya celebrity nnaye mjua huwa nasoma kichwani kwa sauti ya yule celebrity kama simjui nasoma kutokana na avatar ilivyo kama ya mtu anayeonekana mpole nasoma kipole,mtu wa vituko hivyo hivyo na kama hajaweka avatar ya mtu nasoma kwa sauti yangu.
Huyo itakuwa ni mimiNikiwa bank nasubiri huduma mara naona mtu mzima kabisa around 60 yupo busy jf, so watu wazima tupo wengi sana humu.
Tunakuwa sisi wale halisi nje ya kuvaa ngozi ya Kondoo kumbe ni mbwa mwitu kwa uhuru zaidiHa ha. Unasema tuna chati kwa uhuru kwa sababu za Id feki, wakati uhalisia ni kwamba tuna chati kwa uhuru wakati wote na pahala popote.
Nadhani ulitaka kusema, huwa tunatukanana kwa uhuru zaidiπ π
ππππ
Huyo itakuwa ni mimiHata Mimi nilikuwa kwenye bajaj nikakuta Mzee na kiwaraza chake yupo Jf anaperuzi mpka nikaogopa
Kwamba hata kama una short call ukisikia sauti ya Mshangazi dot com unakatilia mbali hiyo short call irudi kipofuni π π π πUmenichekesha sana mkuuu!
Unataka kusemaje kwanini ππ ... Kwamba akiniita nisipoitikaaa ππ
Ila ki ukweli hii fake I'd inafanya jf inanoga usikute hata wewe unanijua ila hivyo Tena π
Nimecheka kidogo nidondoke chini π€£π€£π€£Yan ukute unachati na x wako na mapenzi yamenoga sasa mmepanga kuanzisha relationship, unaenda kukutana na huyo mtu unakuta ni zombie lile lile lililokulet down....Gademit....
πππkama nimesoma comment nyingi najua unavyoandika kama ni serious sana, mzaha hivyo, maandishi kama yana lafudhi nasoma kwa sauti hyoKwa hiyo sisi tusio na avatar unatusomaje bwana dosho12 ? Kwanza kwenye vikao vya Majobless sikuoni siku hizi
Lini ulifanya utafiti huo, kama ni jana tu, ujue walikuwa mfungoni na walijizima data tyu au Unazungukwa na watu masikini sanaπ€£π€£Niliwahi kujaribu kufanya uchunguzi kupitia watu wanaonizunguka kama kuna wanaotumia JF lakini nikakuta hamna kabisa.
aha, weye lazima utakuwa unapenda sana kusoma mazee. Jamii inawahitaji, sana watu kama ww, uwafundishe watu kusoma na uwakomboe wataacha uvivu.Kwanza watu wanauliza ndio kuna nini huko huku wengine wakisema wao ni wavivu kusoma soma
Hatari sana
nipo hapa hapa, kwani hujaona kuna jukwaa la loveconnectLeo ndo najua JF inatumika kama dating site. My future mume, where are you tuonane?
Hahahaha sio kweli mkuu! Kwanini unasema ivo? Ni jibu hili swali la mwisho Kisha nibubujike na Mimi πKwamba hata kama una short call ukisikia sauti ya Mshangazi dot com unakatilia mbali hiyo short call irudi kipofuni π π π π
Atakuwa amekufanyia tuning huyu za frequency πππ
makutupora
I hope Mimi unanisoma kwa mentality picture na sauti ya Ku u serious ππππkama nimesoma comment nyingi najua unavyoandika kama ni serious sana, mzaha hivyo, maandishi kama yana lafudhi nasoma kwa sauti hyo
Wewe jipe muda wa kuchunguza utapata majibuDaah na mimi itabidi nifanye huu uchunguzi kwa kweli