IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Wanapewa msaada na US hakuna Cha zaidi ya hapo. Wangekua na ability hiyo mnayoisema hapa wasingechinjwa kiasi kile na Hitler
Mambo yanabadilika mkuu tokea 1940s hadi sasa utegemee hali iwe ileile? Nchi zingine zinapiga hatua kila baada ya miaka kadhaa.
Tanzania ndiyo nchi ambayo inadhani maendeleo ya vitendo ni adui kwake.
 
Kaka wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijasusi!!!Tofautisha mambo ya kijasusi yanavyoendeshwa na siasa!!!Mfano mdogo ni china na marekani au marekani na urusi kuna projects majasusi wa hizo nchi waga wanashirikiana kutafuta matokeo chanya kwa maslahi ya nchi zao!!Tofautisha siasa za nchi na utaratibu wa mambo ya kijasusi yanavyoendeshwa kaka!!!!!Katika mafunzo ya ujasusi kuna msemo mmoja ADUI ANAFAA MKIWA NA LENGO MOJA MTUMIE NA YEYE AKUTUMIE!!!!Nimetafsiri kwa kiswahili
 
Huwa nawashangaa watu mnapopofukwa na mahaba. Israel is nothing without US and west.
Media zinawatia ujinga mnapofukwa.

Hizi ngonjera ni sawa na wale wazee wa kukwambia Israel imebarikiwa au mtu fulani amebarikiwa kuliko wote. Kwangu mimi ukinieleza eneo fulani ni takatifu nakubali, lakini ujinga wa kunieleza taifa fulani ni teule au sijui mtu fulani kabarikiwa kuliko binadamu wote nakuona taahira.
 
R&D ya Nyuklia ikiisha tu, target ya kwanza kuwa levelled ni Tel Aviv

kaeni chonjo Jews wa Homboza
Sasa kaka unaelewa mada inavyosema????Tunazungumzia ubora wa majeshi kukacover millitary operation,s na ubora wa mashirika ya kijasusi na operation walizocover!!!Wewe unazungumzia vitu tofauti na lugha ya matusi juu!!!Mimi nadhani wewe sio msomi na huna weledi wa kisomi kujadili mada kaka!!!
 
Tuchambue hii mada kijeshi kwa kuangalia military operation na operation za kijasusi na tujitahidi kuacha ushabiki wa kisiasa au kidini au kimtazamo!!!Huu uzi watauelewa wanajeshi au makachero au waandishi wa habari za kijasusi na kijeshi!!!!Na kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake ila kwa lugha zenye staha!!!!!!Karibu kaka
 
Uhuru wa maoni wala usikwazike ndugu yangu
 
MOSSAD kiboko ya wavaa kobaz. Wamewapasua Sana hao jamaa huko Lebanon, Syria (Elie Cohen) na Iran
Juma...
Uzi umeuharibu kwa kuonesha chuki dhidi ya Waislam.

Hapakuwa na haja ya kuandika "Wavaa Kobaz."

Umenivunja nguvu sana kuchangia uzi wako.

Ninayo mengi ninayojua ambayo pengine kwako yangekuwa mageni kabisa.

Mathalan usaliti wa Anwar Sadat wa Misri kwa Hafidh Al Asad katika Vita Vya Yom Kippur 1973.

Usaliti huu ndiyo ulioinusuru Israel na ndiyo sababu ya Sadat kupitishiwa hukumu ya kuuawa na Ikhwan.

Sasa kuna baadhi ya mambo ukiyajua utawaona Wayahudi kwa sura yao halisi na nguvu ya Marekani iliyoko nyuma yao.

Lakini bahati mbaya umefungua uzi kwa kuwatukana Waislam.
 
Mzee wangu achana nao hao kama una chochote changia maana mimi ndio nimeleta huu mjadala mezani!!!Karibu sana mzee wangu
 
Tunazungumzia ubora wa kijeshi wa IDF vitani na sio siasa wala dini mzee!!!Tunachambua kama wanajeshi na sio wanasiasa karibu sana
 
Umekosea mzee Mohamed huyo sio mleta uzi.
Pili Wayahudi sio wa kubeza msiingize itikadi kwenye ukweli.
Israel habebwi na Us isipokuwa ni washirika.

Unaposema ni washirika maana yake wana mahusiano ambayo ni win win situation.
 
Karibu uchangie mzee wangu ila uchangie kama mwanataaluma ya kijeshi sababu ukichangia kama mwanasiasa tutatoka nje ya mada!!!MADA TUNAZUNGUMZIA MEDANI ZA MAPAMBANO UWANJA WA VITA NA SIO SIASA!!!Karibu sana mzee wangu
 
Mm ni muislam lkn kuvaa kobaz halijawahi kuwa tusi kwetu.
 
Mada ni ubora wa IDF uwanja wa mapambano na sio siasa!!!!Sisi ni wachambuzi wa kijeshi tunazungumzia vita sio siasa au dini!!!Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…