IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Ccm
 
Sidhani Lissu anakula chakula cha gereza

Tuna ndugu tumewapelekea chakula daily miaka 3 enzi za Magu. Na hawakuwa watu wenye uwezo au support kubwa sana.

Sembuse Lissu.

Sasa kama walimnyima haki zake na kumuweka kwenye death row cell unafikiri kuna kitu ambacho hawawezi kumfanyia hawa Mbweha.....!!?
 
Watashindwa tu,Lissu atawashikisha adabu
 
Na trump kasema anatafakari njia Kali ya kuwachukulia viongozi wa Tanzania kuhusu uminyaji wa uhuru.
 
Sasa kama walimnyima haki zake na kumuweka kwenye death row cell unafikiri kuna kitu ambacho hawawezi kumfanyia hawa Mbweha.....!!?
Mahabusu wanakula chakula cha kuletewa kama kikiletwa. Sidhani kama Lissu anakula chakula cha gereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…