IDU tunafatilia njama za kumuwekea Lissu sumu Gerezani

Chama na ndugu wajipange kumpelekea CHAKULA na huduma zingine, serikali za kiafrika haziaminiki...
 
Polonium. Na wale warusi waliokuja wakati wa sherehe za CCM mmmmmmmmmmmmmmm
 
Wamfungulie tu..m
Walishampa ukilema atawafia huko na hawataeleweka kwamba muda wake umefika.
 
Nachofurai imekuingia😁
Hapo ndipo watu wengi wanapokosea kutoa hukumu pasipo kufanya upelelezi wakutosha.manataka kuaminisha ulimwengu kuwa maadui wa Tundu LISSU labda ni serikali pekee ( kama kweli selikali ina uaduwi na Tl )?common guys ? hivi kuwakosesha watu kugombea kwenye uchaguzi wa mwaka huu mnaona watu wa chadema wamefurahi kabisa? hawawezi kufanya lolote? aisee ,hata YESU hakujua kama yuda mtunza hazina angemsaliti vile .kwa hiyo tusiinyoshee kidole serikali pasipokuwa na ushahidi wa kutosha.lakini pia ,chadema weneyewe wanaweza kutengeneza tukio kuonyesha kuwa serikali ni ovu .upelelezi ufanyike.
 
wazungu wanatuona wajinga aisee.eti kuna report ya kutaka kulishwa sumu.......what is report ? report ni matokea ya upelelezi kufanyika .kuna tofauti ya report na news ( habari ).sasa wanasema kuna report ,whcih means walikuwa wanafanya upelelezi. tuwe macho.kuna kundi linachafua nchi
Mahabusu wanakula chakula cha kuletewa kama kikiletwa. Sidhani kama Lissu anakula chakula cha gereza.
 
Wazungu wanaipenda sana CHADEMA na Tanzania ... tuendelee kuwaombea wazungu .R.I.P Sankara,Gadaff .P.Lumumba
 
Wazungu wanaipenda sana CHADEMA na Tanzania ... tuendelee kuwaombea wazungu .R.I.P Sankara,Gadaff .P.Lumumba




wazungu wanatuona wajinga aisee.eti kuna report ya kutaka kulishwa sumu.......what is report ? report ni matokea ya upelelezi kufanyika .kuna tofauti ya report na news ( habari ).sasa wanasema kuna report ,whcih means walikuwa wanafanya upelelezi. tuwe macho.kuna kundi linachafua nchi
 
Yaani wewe acha tu...yaani kuna kundi flani linataka tufarakane na nchi iwe na shida
 
Waendelea na israel na iran watuache
 
Unajionaga unaakili kumbe una uwezo mdogo sana kuna wanaharakati, na wanasiasa wengi sana wamefia gerezani au na hili hulijui

Kwa hiyo unataka waseme chanzo hadharani mbona maisha sio marahisi hivyo

Kwani si mtu anaweza penyeza taarifa wakati mnapanga mbinu mbaya kuna ambao ni miongoni mwenu hawafurahii na ndo hao wanavujisha habari au na hili hulijui
 
Sasa hiyo siyo report bali tetesi au taarifa.unaposema kuna report maana yake ufanya upelelezi na kupata uhakika wa taarifa hizo.
kwani chakula anachokula mfungwa yuko mahabusu kinatoka wapi? maji na vinywaji vinatoka wapi na kwa nani? choo anachotumia kiko wapi ? kikulacho kiko nguoni mwako.

tuliona kuwa kwa sasa Mh TL anaweza kuzungumza na mawakili wake kifaragha ,na kupewa huduma ya kiroho,ebu tuwaulize hao
 
Hakuna wa kumuwekea sumu ndege aliye tunduni

Wameona relevance yao inapungua sasa wanatumia uhuni na uzushi
 
Chizi karogwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…