njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #61
kwa malalamiko maoni na ushauri kuhusu chawa wa Barbra kuleta propaganda wasiliana nasi hapa makao makuu Zurich Switzerland kwa tovuti hii IFFHSWewe chawa wa Barbra umezidi upotoshaji kwa wasiokujua, nadhani unalipwa kwa kuleta Propaganda humu jf ili kutupoteza mashabiki halisi wa Simba tusihoji ubovu wa timu yetu..
Kweli kabisa ni Sawa na serikali kutuambia tupo uchumi wa kati ilhali raia wengi tumepigika vibaya.Hivi wana Simba wenzangu haya mambo ya kijinga jinga huwa tunayapendea nini?? Timu haifanyi vizuri uwanjani, mashabiki tumejaa huzuni tupu kwa matokeo yasiyoridhisha, halafu mashabiki wajinga wajinga wanakuja na vi takwimu uchwara ili kutufariji..
Mi Nakumbusha Tu Game Ijayo Ni Tanzania Prisons [emoji23]kwa malalamiko ushauri na maoni kuhusu Tanzania prisons wasiliana na IFFHS
Next Game Ni Tanzania Prisons.Pigia mstari. ukibisha tengeneza takwimu zako za kiutopolo
tafuta hela utaacha kudandia madaNext Game Ni Tanzania Prisons.
Acha kujumuisha..wewe ndiyo haikusaidiiTimu kuwa kwenye list hii wakati bado inafungwa na timu average kama Kagera sugar haitusaidii.!
Usipanick Huu Mchezo Hauhitaji Hasira... NEXT GAME NI TANZANIA PRISONS.tafuta hela utaacha kudandia mada
kwa malalamiko kuhusu list hiyo kutokuwa na msaada KWA TEAM MBOVU tafadhali wasiliana na si kupitia tovuti yako uache namba yako ya simu na barua pepe kwa msaada wa haraka ..ASANTE KWA KUFATILIA TAASISI BORA YA TAKWIMU ZA SOKA DUNIANIInatusaidia nini sisi hapo ukweli ni kwamba timu yetu ni mbovu tunafungwa Hadi wastaafu wakina Hamis Kiiza na Paul Nonga tujitafakari acha propaganda Mpira unachezwa hadharani wenzetu Yanga Wana timu nzuri huo ndio ukweli hata Kama ukweli unauma
Naona huamini hahaaaaaaMmmmmmh ya kweli aya
kwa msaada wa kupatiwa majibu haraka na taasisi yetu inayoongoza kwa tafiti za klabu bora duniani na inayotambulika na FIFA tafadhali jaza form hii hapa chini ..asante sanaUsipanick Huu Mchezo Hauhitaji Hasira... NEXT GAME NI TANZANIA PRISONS.
Mkamuulize inginiaSisi utopolo fc list yetu itatoka mwakani.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ishu Ya Prisons Kuwatia Ni Suala Ambalo Liko Wazi Kama K Ya Mbuzi [emoji23]... Tunasubiri Muda Tu Ufike [emoji1787]kwa msaada wa kupatiwa majibu haraka na taasisi yetu inayoongoza kwa tafiti za klabu bora duniani na inayotambulika na FIFA tafadhali jaza form hii hapa chini ..asante sana
View attachment 2101401
Asante kwa kuwasiliana nasi Tutawafatilia Tanzania prisons kama wana vigezo vya kuwa kwenye top 100 ya klabu bora duniani, kwa maoni malalamiko mengineyo ikiwepo kijiba cha roho na ushauri wasiliana nasiIshu Ya Prisons Kuwatia Ni Suala Ambalo Liko Wazi Kama K Ya Mbuzi [emoji23]... Tunasubiri Muda Tu Ufike [emoji1787]
Taja timu haijawahi kufungwa duniani?Timu kuwa kwenye list hii wakati bado inafungwa na timu average kama Kagera sugar haitusaidii.!
Tunachojua sisi ni kuwa Simba tumeshika namba 104 Africa na link hii hapa chini nimekuwekeakwa malalamiko maoni na ushauri kuhusu chawa wa Barbra kuleta propaganda wasiliana nasi hapa makao makuu Zurich Switzerland kwa tovuti hii IFFHS
KWA HESHIMA NA TAADHIMA KWAKO LOPOLOPO LENYE UKOSEFU WA MELANIN KWENYE NGOZI ILIYOPAUKA KAMA NDALAKYUA NAOMBA USOME UZI HUU UTAKUSAIDIA KUONDOA MASHUDU KICHWANI KWAKO:Tunachojua sisi ni kuwa Simba tumeshika namba 104 Africa na link hii hapa chini nimekuwekea
Acha kupotosha we chawa wa Barbra usituhamishe kwenye mjadala wa ubovu wa kikosi chetuView attachment 2101507Africa Football / Soccer Clubs Ranking - FootballDatabase
Al Ahly from Egypt is the continent's best football / soccer team in Africa today. The second place is occupied by Mamelodi Sundowns FC (South Africa). Esperance de Tunis (Tunisia) is third, while Pyramids FC from Egypt and FAR Rabat from Morocco complete the Top 5 from the continental best...footballdatabase.com