Ifikie hatua tuachiane nafasi

Kumbe mpo mnaopenda fujofujo....Yesu Awatunze
 
Kuwa mkali kufuatiliwa ni sign kwamba mhusika lazima atakuwa na lengo la kupata uhuru Ili Kuna vitu anataka kufanya ambavyo kimsingi ni unhealthy kwenye mahusiano husika...
 
Kuwa mkali kufuatiliwa ni sign kwamba mhusika lazima atakuwa na lengo la kupata uhuru Ili Kuna vitu anataka kufanya ambavyo kimsingi ni unhealthy kwenye mahusiano husika...
In most cases huwa iko hivyo, na ndio maana mwanamke ambaye hataki kufuatiliwa huwa tunawaweka kwenye kundi la wahaini🤣! Huwez kuwa na kijana wa watu mnapendana vizuri tu halafu uanze kuchukia kwanini anajali sana kwa kukupigia simu!
 
🤣🤣🤣🤣 Eti wahaini!!
Eti hebu hata tuwe na huruma na investment za vijana wetu jamani,hisia, Upendo,muda na kahela ka airtime ila malipo Yao ni kuwaambia wanatusumbua,hivi ni Haki jamani?Ila mkataa pema pabaya panamwita watakuja kukutana na ma Idd amini siku Moja wawanyooshe
 
kupigiana sana simu, kutuma sana text ni mbaya, ni dalili ya needyness/clingyness, attention seeking behaviour na narcissism, ubinafsi kiujumla.....

labda upate ambaye anapenda kusumbuliwa
Clingyness ni tabia ambayo inahusisha insecurity.

There are some guys who are naturally insecure wao huwa hawajiamini tu. They always https://jamii.app/JFUserGuide shit up by thinking that they are always about to be cheated.

Ila kuna watu ambao wako sensitive tokana na tabia za wapenzi wao. Ushajua mtu kabadilika unakusanya ushahidi lazma uwe mfuatiliaji yani jino kwa jino hadi uone panapovuja.

Mtu anaebadilika ghafla inaelewekaga tu kuwa theres something fishy. Hakunaga namna ingine. Unambana hadi anakaa kwenye 18 unamkamata mchana kweupe. 😀
 
hapo kwenye kubadilika ghafla sawa, ila kwa hali ya kawaida call/text bombing ni utoto kwa kweli
 
Mbona tunaanza kusemana humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…