Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣 Sifahamu ila utu uzima dawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani,Je ninae badilishana nae Yuko tayari kubadilishiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Sifahamu ila utu uzima dawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamani,Je ninae badilishana nae Yuko tayari kubadilishiwa?
Sio busara kuyaanika ila kifupi serious kadhaa ila casual yanazidi.
🤣 I would be as good as dead!Kimbinyiko ngapi? [emoji28]
Form ya maombi inafanyiwa kazi😅😅🤣 Sifahamu ila utu uzima dawa
Kumbe mpo mnaopenda fujofujo....Yesu AwatunzeMimi mawasiliano yakiwa yakusua sua nalala mbele sirudi nyuma,siwezi kuwa kwenye mahusiano halafu bado nikahisi kama nipo peke yangu,wengine tunapenda kero za kupigiwa simu,sms mara kwa mara ndio furaha yetu kwahiyo kila mmoja atafute msalaba wake aubebe mwenyewe
[emoji1787] I would be as good as dead!
Kuwa mkali kufuatiliwa ni sign kwamba mhusika lazima atakuwa na lengo la kupata uhuru Ili Kuna vitu anataka kufanya ambavyo kimsingi ni unhealthy kwenye mahusiano husika...Usichokijua ni kwamba mtu kukufuatilia ni matokeo ya signals ambazo umekuwa ukiziproject kwake. Mimi binafsi kuna nyakati nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana ila ni baada ya kupigwa tukio na mpenzi wangu wa kwanza.
Nilikuwa sensitive sana na kuwa unrest kwa mwenendo wa wapenzi waliofuata kipindi ambacho walikuwa wakibadili response. Mfano kupunguza mawasiliano ghafla, kutokujali lazma utajiuliza kuna kitu hakipo sawa lazma ufuatilie. Mwisho unakuja kugundua kuna mtu kashaanza kujipachika kwenye penzi lenu.
Katika hali hiyo kufuatiliwa lazma na anayefuatiliwa hatapenda sababu atakuwa anaona kero au anabanwa banwa sababu ana mambo ya ajabu anafanya na hataki ajulikane.
Au sio shem lake?Kubanana ndio mapenzi yenyewe.
In most cases huwa iko hivyo, na ndio maana mwanamke ambaye hataki kufuatiliwa huwa tunawaweka kwenye kundi la wahaini🤣! Huwez kuwa na kijana wa watu mnapendana vizuri tu halafu uanze kuchukia kwanini anajali sana kwa kukupigia simu!Kuwa mkali kufuatiliwa ni sign kwamba mhusika lazima atakuwa na lengo la kupata uhuru Ili Kuna vitu anataka kufanya ambavyo kimsingi ni unhealthy kwenye mahusiano husika...
Dogo hutaki kusumbuliwa unataka penzi mdororo? yaani unakuwa huna tofauti na singles?kupigiana sana simu, kutuma sana text ni mbaya, ni dalili ya needyness/clingyness, attention seeking behaviour na narcissism, ubinafsi kiujumla.....
labda upate ambaye anapenda kusumbuliwa
mtu kukupigia simu kila baada ya masaa 2 utapenda? haya sawa tuchukulie poa, unakuta hana cha maana anachoongea utapenda?Dogo hutaki kusumbuliwa unataka penzi mdororo? yaani unakuwa huna tofauti na singles?
Yes, mkiwa mnapendana muda wote lazima muwe pamoja au hata kuwasilianaAu sio shem lake?
🤣🤣🤣🤣 Eti wahaini!!In most cases huwa iko hivyo, na ndio maana mwanamke ambaye hataki kufuatiliwa huwa tunawaweka kwenye kundi la wahaini🤣! Huwez kuwa na kijana wa watu mnapendana vizuri tu halafu uanze kuchukia kwanini anajali sana kwa kukupigia simu!
Clingyness ni tabia ambayo inahusisha insecurity.kupigiana sana simu, kutuma sana text ni mbaya, ni dalili ya needyness/clingyness, attention seeking behaviour na narcissism, ubinafsi kiujumla.....
labda upate ambaye anapenda kusumbuliwa
Jamani penzi sio ofisi Hadi mtu awe na vitu vya maana and official vya kukwambia,Mapenzi ni Sanaa Sanaa tu za kuburudisha moyo msiyachukulie serious sanamtu kukupigia simu kila baada ya masaa 2 utapenda? haya sawa tuchukulie poa, unakuta hana cha maana anachoongea utapenda?
hapo kwenye kubadilika ghafla sawa, ila kwa hali ya kawaida call/text bombing ni utoto kwa kweliClingyness ni tabia ambayo inahusisha insecurity.
There are some guys who are naturally insecure wao huwa hawajiamini tu. They always JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala shit up by thinking that they are always about to be cheated.
Ila kuna watu ambao wako sensitive tokana na tabia za wapenzi wao. Ushajua mtu kabadilika unakusanya ushahidi lazma uwe mfuatiliaji yani jino kwa jino hadi uone panapovuja.
Mtu anaebadilika ghafla inaelewekaga tu kuwa theres something fishy. Hakunaga namna ingine. Unambana hadi anakaa kwenye 18 unamkamata mchana kweupe. 😀
My love Ulipotelea wapi weye 😉kupigiana sana simu, kutuma sana text ni mbaya, ni dalili ya needyness/clingyness, attention seeking behaviour na narcissism, ubinafsi kiujumla.....
labda upate ambaye anapenda kusumbuliwa
Mbona tunaanza kusemana humu ndaniEm tusemni ukweli,ivi mwanaume hakutafuti siku mbili ,akituma labda n kisms kimoja Cha usiku mwema, hajui kutoa ata ela ya vocha ,hajui Wala hajali lolote kuhusu wewe na yupo busy still anasema anakupenda, huo n upendo? Mawasiliano yananguvu mno aisee