Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ubize ni muhimu tatizo la huyu ni moja tu ukimuelekeza anaelewa ila utekelezaji ni zero, anaweza kupiga simu hata mara 10 ndani ya lisaa na anaona haipokelewi.Halafu haipendezi kidume kila wakati uko available.
Lazima atambue kuna muda huyu mtu yuko bize na mishe zake
Na hiyo itafanya akumiss hapo penzi linanoga mdada akiwa na kiu na wewe
Unanikumbusha mbali nilifanyiwa bonge la surprise bila kutarajiaNa hiyo itafanya akumiss hapo penzi linanoga mdada akiwa na kiu na wewe
Njoo kwangu mama Mzungu yaan hapa tunatafutana ukitaka kugongwa na kugongana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zakeWa hivyo nilimshindwa… wa kila saa mbona kimya, nijibu basi, inamaana huoni call zangu.. hujapokea simu anapiga mpk mara 10 halafu ukimtafuta ujue shida lawama 200 baada ya hapo niambie..[emoji19][emoji19] Na umemwambia kabisaa umebanwa utamcheck ila kila saa kila saa
Hii ndy short relationship yangu ya 2 months… hata bure simtaki mtu wa hivi Halafu ni king’ang’anizi [emoji23]
Sitaki kumzalisha mkuuSasa si unaacha Mbegu iendelee kustawi kisha unatafuta mwingine amekwambia lazima uwe nae
Naomba nikung'ang'anie😎Wa hivyo nilimshindwa… wa kila saa mbona kimya, nijibu basi, inamaana huoni call zangu.. hujapokea simu anapiga mpk mara 10 halafu ukimtafuta ujue shida lawama 200 baada ya hapo niambie..[emoji19][emoji19] Na umemwambia kabisaa umebanwa utamcheck ila kila saa kila saa
Hii ndy short relationship yangu ya 2 months… hata bure simtaki mtu wa hivi Halafu ni king’ang’anizi [emoji23]
Nipasie namba yake PM tuijaze dunia tumeagizwa hivyoSitaki kumzalisha mkuu
Always are fakesKuna mwanamke atakuweka bize afanye yake kirahisi uamini anakupenda sana.Ila asilimia kubwa wanawake Wa sasa wanapenda sana bampa to bampa Na hyo ndio kasumba kwa sis watafutaji hatupend hayo mapenz.Ila ukimpata mwanamke muelewa anajua wakat huu uko kazin NJ muda Wa kaz.sasa kuna hiv vingne havielew ndio shida.bila kumpa muda wako haamini kama una mpenda vinataka 24/7 muwe busy kucall,SMS,sijui mambo gani huko ni buguza tupu
Sina papara acha ajitumie sms na kujijibu yeue mwenyewe 😂🤣unamvutia waya tu
Njoo kwangu mama Mzungu yaan hapa tunatafutana ukitaka kugongwa na kugongana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake
utaoa?Nipasie namba yake PM tuijaze dunia tumeagizwa hivyo
Nilimkanya hakusikia na hasikiiMh,siyo vizuri mkuu😊
Amini kwamba Mimi ndio unaefanana nae Mungu kakupa tayari ushindwe wewe tu 😆[emoji23][emoji23]nishampata wangu huyu nilienae tunaendana na ni muelewaa… amini kwamba Mungu anakupa wa kukufanana
Utaniozesha wewe?utaoa?