Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Halafu haipendezi kidume kila wakati uko available.

Lazima atambue kuna muda huyu mtu yuko bize na mishe zake

Na hiyo itafanya akumiss hapo penzi linanoga mdada akiwa na kiu na wewe
Ubize ni muhimu tatizo la huyu ni moja tu ukimuelekeza anaelewa ila utekelezaji ni zero, anaweza kupiga simu hata mara 10 ndani ya lisaa na anaona haipokelewi.

Na kiu anayo kweli ila ameyatimba
 
Wa hivyo nilimshindwa… wa kila saa mbona kimya, nijibu basi, inamaana huoni call zangu.. hujapokea simu anapiga mpk mara 10 halafu ukimtafuta ujue shida lawama 200 baada ya hapo niambie..[emoji19][emoji19] Na umemwambia kabisaa umebanwa utamcheck ila kila saa kila saa

Hii ndy short relationship yangu ya 2 months… hata bure simtaki mtu wa hivi Halafu ni king’ang’anizi [emoji23]
 
Njoo kwangu mama Mzungu yaan hapa tunatafutana ukitaka kugongwa na kugongana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake
 
Wa hivyo nilimshindwa… wa kila saa mbona kimya, nijibu basi, inamaana huoni call zangu.. hujapokea simu anapiga mpk mara 10 halafu ukimtafuta ujue shida lawama 200 baada ya hapo niambie..[emoji19][emoji19] Na umemwambia kabisaa umebanwa utamcheck ila kila saa kila saa

Hii ndy short relationship yangu ya 2 months… hata bure simtaki mtu wa hivi Halafu ni king’ang’anizi [emoji23]
Naomba nikung'ang'anie😎
 
Kuna mwanamke atakuweka bize afanye yake kirahisi uamini anakupenda sana.Ila asilimia kubwa wanawake Wa sasa wanapenda sana bampa to bampa Na hyo ndio kasumba kwa sis watafutaji hatupend hayo mapenz.Ila ukimpata mwanamke muelewa anajua wakat huu uko kazin NJ muda Wa kaz.sasa kuna hiv vingne havielew ndio shida.bila kumpa muda wako haamini kama una mpenda vinataka 24/7 muwe busy kucall,SMS,sijui mambo gani huko ni buguza tupu
Always are fakes
 
Ukiwa katika ndoa usipoona msg hata moja ya mkeo au mumeo ndio utaelewa kuwa Mume au mke yuko busy Na sidechick huko nje.huku katika mahusiano watu huchukulia rahis sana.ngoja Hii Ngoma iwe kinyume nyume chakee
 
Back
Top Bottom