Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ubize ni muhimu tatizo la huyu ni moja tu ukimuelekeza anaelewa ila utekelezaji ni zero, anaweza kupiga simu hata mara 10 ndani ya lisaa na anaona haipokelewi.Halafu haipendezi kidume kila wakati uko available.
Lazima atambue kuna muda huyu mtu yuko bize na mishe zake
Na hiyo itafanya akumiss hapo penzi linanoga mdada akiwa na kiu na wewe
Na kiu anayo kweli ila ameyatimba